Apumzike kwa AmaniJe huu ni ungwana? La hasha huu si uungwana.
R. I. P
PasadaUna maana gani?
Pasada
[/QUOTE
duh
Kama alikuwa na kipindi 'jee huu ni uungwana?' basi aliiga kutoka kwa Leonard Mambo wa Sauti ya Kenya. Kipindi chake hicho kilikuwa kikirushwa kila jumapile saa saba kasorobo.Je huu ni ungwana? La hasha huu si uungwana.
R. I. P
Yeye kilikuwa jumapili asubuhi, siku nyingi sijasililiza redioKama alikuwa na kipindi 'jee huu ni uungwana?' basi aliiga kutoka kwa Leonard Mambo wa Sauti ya Kenya. Kipindi chake hicho kilikuwa kikirushwa kila jumapile saa saba kasorobo.
Leonard Mambo alikuwepo miaka ya mwisho wa sitini mpaka sabini.Yeye kilikuwa jumapili asubuhi, siku nyingi sijasililiza redio