TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

TANZIA Aliyekuwa Mtangazaji wa RFA, Juma Ahmed Baragaza afariki Dunia

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Aliyewahi kuwa Mtangazaji maarufu wa Radio free Afrika na Star Tv, Juma Ahmed Baragaza amefariki dunia leo Agosti 7.

Atakumbukwa zaidi katika vipindi mbali mbali alivyojipatia umaarufu ikiwemo Mambo Mambo na RFA pamoja na Asili ya Mtanzania kupitia Star Tv.

IMG_20210807_182049.jpg
 
Tunaomba Picha wengine local Tv miaka mingi hatujatizama
 
Aisee!!!

Pole kwa familia yake...
 
Kama alikuwa na kipindi 'jee huu ni uungwana?' basi aliiga kutoka kwa Leonard Mambo wa Sauti ya Kenya. Kipindi chake hicho kilikuwa kikirushwa kila jumapile saa saba kasorobo.
Yeye kilikuwa jumapili asubuhi, siku nyingi sijasililiza redio
 
Back
Top Bottom