Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA Nusrat Hanje avaa sare ya CCM

Mv=chepuko wa Mashinje! alitolewa jela kwa maelekezo! toa uchafu wote urudi kwao!
 
Mapambano ya ukombozi hayajawahi kua rahisi hata siku moja.
Njaa ni mtihani mkubwa.
Ila CHADEMA ni chama kwelikweli,waliondoka vigogo kwelikweli.Zito,Slaa,Arfi na wengineo lkn chadema bado ni tishio.
 
Aisee. No hope at all. Yaani hata wanasiasa wa chama tawala walioko madarakani si wa kutumainiwa kabisa!

Yaani tulipe kodi, tufuate sheria kisha tutumie β€œakili za ziada” kujipatia riziki ya kutosheleza - kijanja!
 
Mbona hilo ni gwanda? Toka lini ccm wakavaa gwanda?

Kilichokuchanganya ni rangi tu..lakini si huwa tunaona hadi magwanda meusi.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Kesi ya nini wakati mbowe anapata ruzuku? Endelea kutandika kitanda.
 
Nilivyoshuhudia David Silinde akibadili gia, nilipigwa butwaa kwa siku kadhaa. Tangu siku hiyo ni kama nimeshazoea, kitakachotokea tena sitakishangaa
Alifata maslahi [emoji1]

Usimuweke mwanasiasa mdhamana

Ova
 
Nashangaa kufumaniwa gan huko! Wasubir 2025 ndo wataelewa
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kapendeza,sana;hizi nguo za CCM,aliyezibuni,ni mbumifu wa hali ya juu.Yupo mmoja,pia nikimuona kavaa hizi nguo,zilimprndeza sana.Nafikiri aliyebuni rangi hizi,itskuwa ni Mwalimu Nyerere,tuziheshomu sana.
 
Kapendeza,sana;hizi nguo za CCM,aliyezibuni,ni mbumifu wa hali ya juu.Yupo mmoja,pia nikimuona kavaa hizi nguo,zilimprndeza sana.Nafikiri aliyebuni rangi hizi,itskuwa ni Mwalimu Nyerere,tuziheshomu sana.
Haya
 
Na hiyo hila ya kufanikisha kesi kwenda kwa spidi ya konokono ili Mdee na genge lake wamalize ubunge wao haramu kuna mkono wa kigogo au vigogo chadema pamoja na ushirika wa speaker na pengine mahakama. Ukisikia Lissu anapiga kelele chadema kuna rushwa ujue ni kweli kuna organised corruption ya hali ya juu. Itakuaje chadema wamewafukuza uanachama hao wabunge kisha wako kimya na wao wanaendelea na ubunge wakipokea mishahara posho na pengine mafao ya kustaafu ubunge na huku chama wanachodai kukiwakilisha hakiwatambui. Hapo ni uhakikisho kwamba nchi hii kuna njama za rushwa za hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…