Aliyekuwa mwanakandarasi wa misaada Gaza aambia BBC aliona wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Aliyekuwa mwanakandarasi wa usalama wa maeneo mapya yenye utata ya ugawaji chakula yenye kuungwa mkono na Israel- na Marekani ameambia BBC kwamba alishuhudia wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina wenye njaa mara kadhaa ambao hawakuwa tishio kwa namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na utumiaji wa bunduki.

Wakati mmoja, alisema, mlinzi alitumia bunduki ya kumimina risasi kwa sababu kundi la wanawake, watoto na wazee lilikuwa likisongea polepole kuondoka eneo la lenye kutoa misaada.

Walipoulizwa kujibu, Wakfu wa Misaada ya Kibinadamu wa Gaza (GHF) walisema madai hayo ni ya uwongo kabisa.

Na kurejelea taarifa kwamba hakuna raia aliyewahi kushambuliwa katika maeneo ya usambazaji chakula ya GHF.

GHF ilianza shughuli zake huko Gaza mwishoni mwa Mei, ikisambaza misaada ya chakula ambayo imekuwa kidogo katika maeneo kadhaa ya kusini na kati ya Gaza.

Hatua hiyo ilifuatia kuzuizi cha kuingia Gaza kwa wiki 11 na Israeli wakati ambapo hakuna chakula kilichoingia katika eneo hilo.

Mfumo huo umekosolewa sana kwa kulazimisha idadi kubwa ya watu kutembea kupitia maeneo ya mapigano yanayoendelea hadi kwenye misaada.

Tangu GHF kuanza shughuli zake, vikosi vya Israel vimewaua zaidi ya Wapalestina 400 wakijaribu kupata chakula cha msaada kutoka maeneo yake, Umoja wa Mataifa na madaktari wa ndani wanasema.

Israel inasema mfumo mpya wa usambazaji unasitisha misaada kwenda kwa kundi la Hamas.
 
Wale wanaojiita Waizraeli, nadhani watakuwa siyo binadamu wa kawaida. Watakuwa ni mahayawani bila shaka. Haiwezekani waone kama fahari kuwageuza Wapalestina kama sisimizi hivi.
 
Aliyekuwa mwanakandarasi wa usalama wa maeneo mapya yenye utata ya ugawaji chakula yenye kuungwa mkono na Israel- na Marekani ameambia BBC kwamba alishuhudia wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina wenye njaa mara kadhaa ambao hawakuwa tishio kwa namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na utumiaji wa bunduki.

Wakati mmoja, alisema, mlinzi alitumia bunduki ya kumimina risasi kwa sababu kundi la wanawake, watoto na wazee lilikuwa likisongea polepole kuondoka eneo la lenye kutoa misaada.

Walipoulizwa kujibu, Wakfu wa Misaada ya Kibinadamu wa Gaza (GHF) walisema madai hayo ni ya uwongo kabisa.

Na kurejelea taarifa kwamba hakuna raia aliyewahi kushambuliwa katika maeneo ya usambazaji chakula ya GHF.

GHF ilianza shughuli zake huko Gaza mwishoni mwa Mei, ikisambaza misaada ya chakula ambayo imekuwa kidogo katika maeneo kadhaa ya kusini na kati ya Gaza.

Hatua hiyo ilifuatia kuzuizi cha kuingia Gaza kwa wiki 11 na Israeli wakati ambapo hakuna chakula kilichoingia katika eneo hilo.

Mfumo huo umekosolewa sana kwa kulazimisha idadi kubwa ya watu kutembea kupitia maeneo ya mapigano yanayoendelea hadi kwenye misaada.

Tangu GHF kuanza shughuli zake, vikosi vya Israel vimewaua zaidi ya Wapalestina 400 wakijaribu kupata chakula cha msaada kutoka maeneo yake, Umoja wa Mataifa na madaktari wa ndani wanasema.

Israel inasema mfumo mpya wa usambazaji unasitisha misaada kwenda kwa kundi la Hamas.
Kiama patakua pazito sanaa haswa kwa wamwagaji damu
ifike mahali watu waelewe kwanini IRAN anataka kuwafuta hawa watu kwenye dunia
hiyo Iran itaweza sasa kuifuta Israel maana Israel itawapukutisha viongozi wa Iran na Ayatollah wao
 
Habari ya Kweli ni Hii hapa
1751667178000.png

Wafuasi wa Allah acheni Uongo.
 
Asee last year walimtoboa kibabe yule Sinwar ... alimiminiwa vyuma vya kutosha na hawa wababe wa hapo mashariki ya kati hapo kati.. Huyo mtoa roho aka Israel ni mbabe na jabali haswa mazeeeeee..
Wale hamas wanaovaa magwanda kwa mbwembwe nyingi na bunduki siku za kubadilishana mateka huwa wanauwawa daily lakini hatuambiwi na al jazeera
 
Asee last year walimtoboa kibabe yule Sinwar ... alimiminiwa vyuma vya kutosha na hawa wababe wa hapo mashariki ya kati hapo kati.. Huyo mtoa roho aka Israel ni mbabe na jabali haswa mazeeeeee..
Hakika taifa la Israel kupewa jina la mtoa roho ilikuwa ni makosa makubwa.
 
Aliyekuwa mwanakandarasi wa usalama wa maeneo mapya yenye utata ya ugawaji chakula yenye kuungwa mkono na Israel- na Marekani ameambia BBC kwamba alishuhudia wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina wenye njaa mara kadhaa ambao hawakuwa tishio kwa namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na utumiaji wa bunduki.

Wakati mmoja, alisema, mlinzi alitumia bunduki ya kumimina risasi kwa sababu kundi la wanawake, watoto na wazee lilikuwa likisongea polepole kuondoka eneo la lenye kutoa misaada.

Walipoulizwa kujibu, Wakfu wa Misaada ya Kibinadamu wa Gaza (GHF) walisema madai hayo ni ya uwongo kabisa.

Na kurejelea taarifa kwamba hakuna raia aliyewahi kushambuliwa katika maeneo ya usambazaji chakula ya GHF.

GHF ilianza shughuli zake huko Gaza mwishoni mwa Mei, ikisambaza misaada ya chakula ambayo imekuwa kidogo katika maeneo kadhaa ya kusini na kati ya Gaza.

Hatua hiyo ilifuatia kuzuizi cha kuingia Gaza kwa wiki 11 na Israeli wakati ambapo hakuna chakula kilichoingia katika eneo hilo.

Mfumo huo umekosolewa sana kwa kulazimisha idadi kubwa ya watu kutembea kupitia maeneo ya mapigano yanayoendelea hadi kwenye misaada.

Tangu GHF kuanza shughuli zake, vikosi vya Israel vimewaua zaidi ya Wapalestina 400 wakijaribu kupata chakula cha msaada kutoka maeneo yake, Umoja wa Mataifa na madaktari wa ndani wanasema.

Israel inasema mfumo mpya wa usambazaji unasitisha misaada kwenda kwa kundi la Hamas.
GHF ipo chini ya British veteran amekanusha
 
Inasikitisha sana, ila ukweli Hamas/wapalestina wangekuwa na uwezo kungekuwa hakuna myahudi anaishi leo
 
Ukifuatilia hizi habari Al Jazeera utajua kwa sasa Gaza yote ni magofu watu wote wanaishi kwenye mahema. Kumbe maisha mengine yanaendelea kama kawaida. Biashara, kilimo, watu wanazaliana, viongozi wapo na wanaofisi kabisa.
 
Back
Top Bottom