hata wasipoweza kuifuta,kwa kuweka nia tu inatosha wao kuwaita wambahiyo Iran itaweza sasa kuifuta Israel maana Israel itawapukutisha viongozi wa Iran na Ayatollah wao
Lete ushahidi wa unachoropoka hapa ewe hayawani.MO mwenyewe kaua watu wengi sana wakati anaeneza hii dini ya mchongo,huyo naye siku ya kiama patakuwa pazto sana
Akileta nitag mkuu.Lete ushahidi
Katika maisha ya Mtume Mo (rehema na amani zisimshukie), alisababisha vita na mauaji ya watu wengi kama ifuatavyo:-Lete ushahidi wa unachoropoka hapa ewe hayawani.
Hivi ndio vita vya kutangaza dini!?Katika maisha ya Mtume Mo (rehema na amani zisimshukie), alisababisha vita na mauaji ya watu wengi kama ifuatavyo:-
⚔️ Vita maarufu vya Mtume Mo (SAW)
| Vita | Mwaka (Hijria) | Sababu kuu | Makadirio ya vifo |
|------|----------------|------------|--------------------|
1:Badr| 2 AH | Kujihami dhidi ya washirika wa Makkah waliotishia Waislamu Takriban 70 wa Quraysh waliuliwa na mtumie Mo,
2:Uhud Mashambulizi ya kulipiza kisasi kutoka kwa Quraysh | Takriban watu 70 waliuliwa na mtu Mo,laana iwe juu yake.
3:Khandaq (Ahzab) | 5 Makabila ya Kiarabu na Wayahudi walikusanyika kuushambulia Madina | Vifo vichache, vita vilimalizika bila mapambano ya moja kwa moja ambapoMo alivisimamia ili kuulindaji wa jiwe jeusi.
Akhi karibu shehe wangu
Hoja yangu kuu iko kwenye mauaji aliyoyafanya Mo,iwe kwa kueneza dini au kwa utashi wake binafsiHivi ndio vita vya kutangaza dini!?
Umesema mtume alipigana vita kutangaza dini kwa upanga,hizi ndio vita zenyewe!???
Nahisi wagalatia mna tatizo la uelewa ama kusoma kwa kumakinika.
Badr haikutangazwa dini bali kisasi na kulinda waislam waliofanya hijrah.
Vivyo hivyo uhdi na vita zingine.
Hakuna vita mtume alipigana kutangaza dini kwa upanga.
Embu rejelea ulichosema na ulicholeta vinafanana!?
Ulichosema na ulicholeta vitu haviendani.Hoja yangu kuu iko kwenye mauaji aliyoyafanya Mo,iwe kwa kueneza dini au kwa utashi wake binafsi