The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Aliyekuwa mwanakandarasi wa usalama wa maeneo mapya yenye utata ya ugawaji chakula yenye kuungwa mkono na Israel- na Marekani ameambia BBC kwamba alishuhudia wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina wenye njaa mara kadhaa ambao hawakuwa tishio kwa namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na utumiaji wa bunduki.
Wakati mmoja, alisema, mlinzi alitumia bunduki ya kumimina risasi kwa sababu kundi la wanawake, watoto na wazee lilikuwa likisongea polepole kuondoka eneo la lenye kutoa misaada.
Walipoulizwa kujibu, Wakfu wa Misaada ya Kibinadamu wa Gaza (GHF) walisema madai hayo ni ya uwongo kabisa.
Na kurejelea taarifa kwamba hakuna raia aliyewahi kushambuliwa katika maeneo ya usambazaji chakula ya GHF.
GHF ilianza shughuli zake huko Gaza mwishoni mwa Mei, ikisambaza misaada ya chakula ambayo imekuwa kidogo katika maeneo kadhaa ya kusini na kati ya Gaza.
Hatua hiyo ilifuatia kuzuizi cha kuingia Gaza kwa wiki 11 na Israeli wakati ambapo hakuna chakula kilichoingia katika eneo hilo.
Mfumo huo umekosolewa sana kwa kulazimisha idadi kubwa ya watu kutembea kupitia maeneo ya mapigano yanayoendelea hadi kwenye misaada.
Tangu GHF kuanza shughuli zake, vikosi vya Israel vimewaua zaidi ya Wapalestina 400 wakijaribu kupata chakula cha msaada kutoka maeneo yake, Umoja wa Mataifa na madaktari wa ndani wanasema.
Israel inasema mfumo mpya wa usambazaji unasitisha misaada kwenda kwa kundi la Hamas.
Kiama patakua pazito sanaa haswa kwa wamwagaji damu
hiyo Iran itaweza sasa kuifuta Israel maana Israel itawapukutisha viongozi wa Iran na Ayatollah waoifike mahali watu waelewe kwanini IRAN anataka kuwafuta hawa watu kwenye dunia
Asee last year walimtoboa kibabe yule Sinwar ... alimiminiwa vyuma vya kutosha na hawa wababe wa hapo mashariki ya kati hapo kati.. Huyo mtoa roho aka Israel ni mbabe na jabali haswa mazeeeeee..Hivi mwaka huu hakuna hata hamas mmoja kauliwa?
Wale hamas wanaovaa magwanda kwa mbwembwe nyingi na bunduki siku za kubadilishana mateka huwa wanauwawa daily lakini hatuambiwi na al jazeeraAsee last year walimtoboa kibabe yule Sinwar ... alimiminiwa vyuma vya kutosha na hawa wababe wa hapo mashariki ya kati hapo kati.. Huyo mtoa roho aka Israel ni mbabe na jabali haswa mazeeeeee..
MO mwenyewe kaua watu wengi sana wakati anaeneza hii dini ya mchongo,huyo naye siku ya kiama patakuwa pazto sanaKiama patakua pazito sanaa haswa kwa wamwagaji damu
Hakika taifa la Israel kupewa jina la mtoa roho ilikuwa ni makosa makubwa.Asee last year walimtoboa kibabe yule Sinwar ... alimiminiwa vyuma vya kutosha na hawa wababe wa hapo mashariki ya kati hapo kati.. Huyo mtoa roho aka Israel ni mbabe na jabali haswa mazeeeeee..
GHF ipo chini ya British veteran amekanushaAliyekuwa mwanakandarasi wa usalama wa maeneo mapya yenye utata ya ugawaji chakula yenye kuungwa mkono na Israel- na Marekani ameambia BBC kwamba alishuhudia wenzake wakiwafyatulia risasi Wapalestina wenye njaa mara kadhaa ambao hawakuwa tishio kwa namna yoyote ile, ikiwa ni pamoja na utumiaji wa bunduki.
Wakati mmoja, alisema, mlinzi alitumia bunduki ya kumimina risasi kwa sababu kundi la wanawake, watoto na wazee lilikuwa likisongea polepole kuondoka eneo la lenye kutoa misaada.
Walipoulizwa kujibu, Wakfu wa Misaada ya Kibinadamu wa Gaza (GHF) walisema madai hayo ni ya uwongo kabisa.
Na kurejelea taarifa kwamba hakuna raia aliyewahi kushambuliwa katika maeneo ya usambazaji chakula ya GHF.
GHF ilianza shughuli zake huko Gaza mwishoni mwa Mei, ikisambaza misaada ya chakula ambayo imekuwa kidogo katika maeneo kadhaa ya kusini na kati ya Gaza.
Hatua hiyo ilifuatia kuzuizi cha kuingia Gaza kwa wiki 11 na Israeli wakati ambapo hakuna chakula kilichoingia katika eneo hilo.
Mfumo huo umekosolewa sana kwa kulazimisha idadi kubwa ya watu kutembea kupitia maeneo ya mapigano yanayoendelea hadi kwenye misaada.
Tangu GHF kuanza shughuli zake, vikosi vya Israel vimewaua zaidi ya Wapalestina 400 wakijaribu kupata chakula cha msaada kutoka maeneo yake, Umoja wa Mataifa na madaktari wa ndani wanasema.
Israel inasema mfumo mpya wa usambazaji unasitisha misaada kwenda kwa kundi la Hamas.
Wanatafuta kuonewa huruma.
Hizo sentensi ulizoandika ndizo zinawasulubu waarabu na ajemiz.Inasikitisha sana, ila ukweli Hamas/wapalestina wangekuwa na uwezo kungekuwa hakuna myahudi anaishi leo
Lete ushahidiMO mwenyewe kaua watu wengi sana wakati anaeneza hii dini ya mchongo,huyo naye siku ya kiama patakuwa pazto sana