Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
msigwa baada kufumaniwa kuwa ni mamluki wa ccm, na kukosa fursa ya uongozi, kwa aibu akakimbia chadema na kujiunga na ma boss wake.. sasa ile aibu ya kufumaniwa inamtesa , kaamua kujifariji kwa style hyo.
 
Msigwa kupelekwa mahakamani ni "kuivua chupi chadema" hadharani na anguko la mwenyekiti, stay tunes!
 
Mimi niilisikitika alipoondoka nota kama anlionewa lakini anavyozidi kuwaandama wenzie naanza kumwona hana maana
 
Nashauri kesi ikishafunguliwa, ipelekwe mbio mbio kila baada ya siku 2-3-7,na iende muda mrefu iishe 2026.
#mafioso tactic!
 
Halafu anasahau tupo zama za 4R; si zama zile za kanyaboya!
 
si kweli kwamba anachohubiri Msigwa kuhusu chama alichojiengua ni kutukana, kua mstaarabu kidogo kwenye hilo...

anachokisema Msigwa ni ukweli mtupu juu ya madudu, masaibu na maisha halisi ya ndani ya chama husika kwasabub amekua huko kwa zaidi ya miaka 20. anajua A to Z ya chama hicho...

na actually,
amewasaidia sana waoga na walio vumilia hali hiyo kwa muda mrefu walau sasa wana pumua...

And for your information,
Mbowe anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe, Msigwa atasaidiwa kumuabisha mbowe mahakamani na waandamizi ndani ya chadema πŸ’
 
Unaandika hapa kujifirahisha tu na ama kuambulia vijisenti vile vya bando kutoka Lumumba fc!
Huyo msigwa na wewe lmao ushahidi wa tuhuma zenu? Au unapush agenda zenu za kumwondoa mwenyekiti wa cdm kwani amekuwa mwiba kwenu!
Huna ushahidi hata chembe, acha kujifanya unaijua Sana cdm.
 
mbona uko zig zaga gentleman?

una weweseka , mihemko au umepanic tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…