Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

mandhari ya nyumba pameja ufisadi wa hali ya juu hayaendani naalivyokuwa anapigiwa debe raisi wa wanyonge,wamepigwa marufuku kuelekeza kamera kule
 
Hivi huwa mnawaza na nini? kama watu waliweza kupiga picha mwili ukiwa kwenye jeneza, Wangetaka kupiga hapo chato kingeshindikana kipi?? kwani hapo ni Vault za hazina??
 
Ukiona mtu anaogopa kukuonesha kwake ,basi jiongeze....

Kama nyumbani kwako ni pazuri lazima utatamani kuwaonesha watu tu ....
 
Duh...
Naangalia safari yakwenda mazikoni kuna mjeda wa magereza kaamua kukimbia na msafara kwa miguu...
 
Mi naangalia urefu wa hiyo fence nyeupe...mzee alijiandaa bana na kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…