Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Hahaha naona leo mama samia kaambiwa kwa kibari chako Sir wakati anakabiziwa bendera mjane ....tutaona mengi awamu hii ya 6.
 
Ina maana unaweza kulifungua na kuacha shimo wazi au linafit fit vipi hadi lisitoke tena??
Kuna kuwa na slabs ambazo zimetengezeza kulingana ramani ya Kaburi, baada ya hapo kuna motor inapitishwa kwenye kila joints za hizo slabs. Hivyo kulifungua inakuwa sio vyepesi.

Ujenzi wanamna hiyo unasaidia sana kuepusha ubomoji usiwe ule wa hovyohovyo kama itahitajika kupata mabaki ya mwili kwasababu zozote zile zitakazojitokeza.
 
Kwahyo ndan hawajajaza maudongo kama wanyonge tunavyozikwa?
 
Safiiiiiiiiiii sanaaaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…