Bukali
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,264
- 835
Kipindi wanaonesha mwanzo ungelikuwa makini ungeliona. Any way ni sawa na get la kusilaidKiaje mkuu am a slow learner ..limetengenezwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi wanaonesha mwanzo ungelikuwa makini ungeliona. Any way ni sawa na get la kusilaidKiaje mkuu am a slow learner ..limetengenezwaje?
Nimeangalia san ghafla naliona lishasimikwa..duh...mashikoloKipindi wanaonesha mwanzo ungelikuwa makini ungeliona. Any way ni sawa na get la kusilaid
Ina maana unaweza kulifungua na kuacha shimo wazi au linafit fit vipi hadi lisitoke tena??Kipindi wanaonesha mwanzo ungelikuwa makini ungeliona. Any way ni sawa na get la kusilaid
Wanaweza kuweka kitu kama kitasa hivi so ukilipush tu kikijichomeka pale ndo imeisha hiyo yani chenye mfumo wa kuingia tu bila kutoka...nimejaribu kuwaza kwa sautiIna maana unaweza kulifungua na kuacha shimo wazi au linafit fit vipi hadi lisitoke tena??
Lina vitairi chini, kama mageti ya kisasa yaakua na reli chini yanaslaidi tu. wakati wanaweka udongo lilikua limevutwa, walipomaliza walilivuta tu.Kiaje mkuu am a slow learner ..limetengenezwaje?
Dah...bas vitakua vitauri konki ....Lina vitairi chini, kama mageti ya kisasa yaakua na reli chini yanaslaidi tu. wakati wanaweka udongo lilikua limevutwa, walipomaliza walilivuta tu.
Swali langu hivyo vireli/vitairi ni vya kudumu au wanavitoa?
Kuna kuwa na slabs ambazo zimetengezeza kulingana ramani ya Kaburi, baada ya hapo kuna motor inapitishwa kwenye kila joints za hizo slabs. Hivyo kulifungua inakuwa sio vyepesi.Ina maana unaweza kulifungua na kuacha shimo wazi au linafit fit vipi hadi lisitoke tena??
Si kamanda lema kasema simbachawene auDah...bas vitakua vitauri konki ....
Haya zamu inayofuata ni nan? ******
Kwahyo ndan hawajajaza maudongo kama wanyonge tunavyozikwa?Kuna kuwa na slabs ambazo zimetengezeza kulingana ramani ya Kaburi, baada ya hapo kuna motor inapitishwa kwenye kila joints za hizo slabs. Hivyo kulifungua inakuwa sio vyepesi.
Ujenzi wanamna hiyo unasaidia sana kuepusha ubomoji usiwe ule wa hovyohovyo kama itahitajika kupata mabaki ya mwili kwasababu zozote zile zitakazojitokeza.
Hhahhaaa ndugaiiii🤣🤣Si kamanda lema kasema simbachawene au
😀😀
Nenda you tube washaiwekaHivi mwinyi alifanyaje wakuu. Mwenye clip anipatie
Safiiiiiiiiiii sanaaaaaaaa.Kuna watu walikuja na simu zao Chato kupiga picha nyumbani kwa Mhe. JPM lakini wamekosa fursa hiyo. Media zetu pia Hadi Sasa hazijaweza kuonesha chochote ndani ya geti la nyumba ya mzee isipokuwa kwa yale maeneo Azam na TBC waliyopewa Uhuru wa kuyaonesha.
Tumezoea kwenye matukio Kama haya cha Kwanza kuonekana huwa nyumba na mandhari ya nje, tuliona kwa Mkapa hadi namna usafi ulivyofanyika baada ya kufariki lakini huku chato hali ipo Tofauti. N
ilitamani kuona walipoapa viongozi mbalimbali pamoja mandhari ila acha tu...no maphoto photo ndani ya himaya ya mzee.
Jifunzeni kudhibiti watu wanaopenda kujua yasiyowahusu.