Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Mashishi ndiyo nini na lugha gani wanangu?Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??
Kazi unayo kigagula!Kuna msiba wa mama yake.
[emoji16][emoji16][emoji16]Ila we jamaa...duh...mazalau,mashishi,kamirika...dah
Hahahah wasukuma bwanaπ π ..kweli hizi ni"zalau"Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??
watatangaza liniKuna msiba wa mama yake.
Amesemaje? SikusikiaLeo jioni ulimsikia waziri mkuu kuhusu mama yake na jpm? Au unaongelea mama yupi? Unasikiliza sana rumours za vijiweni
Hivi una amini maneno ya Majaliwa. Una kumbuka akiwa Njombe alituambia nini khusu Rais Jpm? Bado una imani nae?Leo jioni ulimsikia waziri mkuu kuhusu mama yake na jpm? Au unaongelea mama yupi? Unasikiliza sana rumours za vijiweni
Serious?Kuna msiba wa mama yake.
Dada katumia kilevi leo naona[emoji28][emoji28]Serious?
AmelandukaDada katumia kilevi leo naona[emoji28][emoji28]
Hahahah! Bibi wa watu hata kunyanyuka kitandani hawezi mwaka wa pili huuAmelanduka
Acha kuchekesha watu, alimsikiliza nani?Leo jioni ulimsikia waziri mkuu kuhusu mama yake na jpm? Au unaongelea mama yupi? Unasikiliza sana rumours za vijiweni
Alafu! mkuu nje ya mada wewe unatoka mkoa gani [emoji38][emoji38]Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??
Hahaha...dah!!!Walivyoenda kununua kaburi walipewa na la nyongeza
Acha stori za kigogo wewe,, mwenzako katiwa pin saiv haonekani mtandaono OhooooUnamzungumzia waziri mkuu yupi?Yule aliedanganya uma kuwa Magufuli ni mzima wa afya na anachapa kazi?Yule aliedanganya uma kuwa mazishi ya Magufuli yamefuatiliwa na watu billion 3.9 duniani kote?Au unamzungumzia waziri mkuu mpya ambae mimi sijamjua?!
JF sihami nimecheka! Yaani mnajifanya hamuelewi jamaa kakosea πππMashishi gani tena?