Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??
Hahahah wasukuma bwana😅😅..kweli hizi ni"zalau"
 
Leo jioni ulimsikia waziri mkuu kuhusu mama yake na jpm? Au unaongelea mama yupi? Unasikiliza sana rumours za vijiweni
Acha kuchekesha watu, alimsikiliza nani?
😂😂😂😂😂😂😂
Watu mna utani wa ngumi aisee, Nanii ni mzima na...........
 
Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??
Alafu! mkuu nje ya mada wewe unatoka mkoa gani [emoji38][emoji38]
 
Tatizo Umri wako ni mdogo.. Siku zote Mashishi ndivyo yanavyokuwa mdogo wetu lakini Mazishi ni tofauti na hicho ulichokiona...
 
Unamzungumzia waziri mkuu yupi?Yule aliedanganya uma kuwa Magufuli ni mzima wa afya na anachapa kazi?Yule aliedanganya uma kuwa mazishi ya Magufuli yamefuatiliwa na watu billion 3.9 duniani kote?Au unamzungumzia waziri mkuu mpya ambae mimi sijamjua?!
Acha stori za kigogo wewe,, mwenzako katiwa pin saiv haonekani mtandaono Ohoooo
 
Imebidi niongeze siku za kuishi kwa kucheka tu, mashishi sijui ni kilugha au ndo kwa hisani ya mkalimani
 
Back
Top Bottom