Suzzy Mungu awatie Nguvu na Kazi ya Mungu haina Makosa.Tuendelee kumwombea Baba yetu.NdagulaView attachment 1734802
Pole sana Suzan Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suzzy Mungu awatie Nguvu na Kazi ya Mungu haina Makosa.Tuendelee kumwombea Baba yetu.NdagulaView attachment 1734802
Pole sana Suzan Magufuli
Huyu mzee anahutubia hakuna hata anayecheka.Naona mangula alipata mid stroke
Ni mtoto wake mmoja tu mkubwa ndiye anamkumbuka. Sasa hivi yupo na mtoto wake mwingine mdogo, so akiongea na yule mkubwa anamsimulia "huyu mmama ni msafi jamani, yaani anafanya mambo yake kwa usafi". Hapo anamuongelela mtoto wake mdogo, (na bibi yangu ni alikuwa msafi kupindukia). Sisi wajukuu ndiyo hata hatukumbukiHahahahahhaaah
afadhali umeliona. anamlazimisha kufanya kama Jiwe. Huyu mzee ni wa kutupa kule mbali. Amuache Rais afanye the way she sees it fit!Namsikiliza hapa anayoyaongelea, kubwa zaidi anasema Rais hatakiwi 'kuongeza wala kupunguza' yale yaliyopangwa kutekelezwa.
Anasisitiza 'YAMEANDIKWA'. Je, hapa Rais Samia atakuwa bendera fata upepo au nivipi?
Hawa wazee wapuuzi wamejimilikisha nchi kama mali binafsiafadhali umeliona. anamlazimisha kufanya kama Jiwe. Huyu mzee ni wa kutupa kule mbali. Amuache Rais afanye the way she sees it fit!
Kwamba watamsimamia na wasimamizi ni wale wale? dharau gani hii
Kwani si walinadi sera za sisiemu ambazo ziko ktk ilani yao? Wewe unadhani atacheza nje ya hizo?Namsikiliza hapa anayoyaongelea, kubwa zaidi anasema Rais hatakiwi 'kuongeza wala kupunguza' yale yaliyopangwa kutekelezwa.
Anasisitiza 'YAMEANDIKWA' kwamba 'pitia zile kurasa 303'. Je, hapa Rais Samia atakuwa bendera fata upepo au nivipi?
Endelea kuandaa maakuliKinondoni...
Mzee wa nidhamu,wanamjua. No nonsense man,Madame Rais mwenyewe anamwangalia kwa tahadhari... Kila sentensi,anawaambia 'imeandikwa,. Ni mwendo wa rula na pima maji.Huyu mzee anahutubia hakuna hata anayecheka.
Ni mtoto wake mmoja tu mkubwa ndiye anamkumbuka. Sasa hivi yupo na mtoto wake mwingine mdogo, so akiongea na yule mkubwa anamsimulia "huyu mmama ni msafi jamani, yaani anafanya mambo yake kwa usafi". Hapo anamuongelela mtoto wake mdogo, (na bibi yangu ni alikuwa msafi kupindukia). Sisi wajukuu ndiyo hata hatukumbuki
Ila sasa bibi yangu mkubwa upande wa baba, jamani ni mzee lakini atanisimulia stories hata za nilipokuwa na miaka 5, anakumbuka vitu sanaaa.
Samia hawezi msikiliza huyo mpangwaHawa wazee wanatakiwa wapumzike maana wametumikia taifa inatosha, wanadhani nchi ni mali yao binafsi.
Kati ya watu ambao sina imani nao ni huyu mama asee.Samia hawezi msikiliza huyo mpangwa
Kwani barafu kaolewa??🤣🤣🤣Endelea kuandaa maakuli
Naona leo unapiga biriani muendelezo wa sherehe ya kifo cha JPM...Endelea kuandaa maakuli
Hahahahhaah...eti huyu mama msafi jaman[emoji1787][emoji1787]..mie hata vya chuoni (10yrs ago) nilishahau jaman...dah..dingilai had safari za way bak 1960's anahadithia...mimi sina kitu...zaidi ya kukumbuka scenes za labor ward
Atawasikiliza kina zito eehSamia hawezi msikiliza huyo mpangwa
Hahaa hatariii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shikamoo Labor
Atafuata katibaAtawasikiliza kina zito eeh
Kwani tunakatazwa hata kula?Naona leo unapiga biriani muendelezo wa sherehe ya kifo cha JPM...