Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Saa tisa ipi salam zarambi rambi zimegeuka ni hotuba za viongozi.
 
Hahahahahhaaah
Ni mtoto wake mmoja tu mkubwa ndiye anamkumbuka. Sasa hivi yupo na mtoto wake mwingine mdogo, so akiongea na yule mkubwa anamsimulia "huyu mmama ni msafi jamani, yaani anafanya mambo yake kwa usafi". Hapo anamuongelela mtoto wake mdogo, (na bibi yangu ni alikuwa msafi kupindukia). Sisi wajukuu ndiyo hata hatukumbuki

Ila sasa bibi yangu mkubwa upande wa baba, jamani ni mzee lakini atanisimulia stories hata za nilipokuwa na miaka 5, anakumbuka vitu sanaaa.
 
Namsikiliza hapa anayoyaongelea, kubwa zaidi anasema Rais hatakiwi 'kuongeza wala kupunguza' yale yaliyopangwa kutekelezwa.

Anasisitiza 'YAMEANDIKWA'. Je, hapa Rais Samia atakuwa bendera fata upepo au nivipi?
afadhali umeliona. anamlazimisha kufanya kama Jiwe. Huyu mzee ni wa kutupa kule mbali. Amuache Rais afanye the way she sees it fit!
Kwamba watamsimamia na wasimamizi ni wale wale? dharau gani hii
 
Hawa wazee wanatakiwa wapumzike maana wametumikia taifa inatosha, wanadhani nchi ni mali yao binafsi.
 
afadhali umeliona. anamlazimisha kufanya kama Jiwe. Huyu mzee ni wa kutupa kule mbali. Amuache Rais afanye the way she sees it fit!
Kwamba watamsimamia na wasimamizi ni wale wale? dharau gani hii
Hawa wazee wapuuzi wamejimilikisha nchi kama mali binafsi
 
Namsikiliza hapa anayoyaongelea, kubwa zaidi anasema Rais hatakiwi 'kuongeza wala kupunguza' yale yaliyopangwa kutekelezwa.

Anasisitiza 'YAMEANDIKWA' kwamba 'pitia zile kurasa 303'. Je, hapa Rais Samia atakuwa bendera fata upepo au nivipi?
Kwani si walinadi sera za sisiemu ambazo ziko ktk ilani yao? Wewe unadhani atacheza nje ya hizo?
 
Ni mtoto wake mmoja tu mkubwa ndiye anamkumbuka. Sasa hivi yupo na mtoto wake mwingine mdogo, so akiongea na yule mkubwa anamsimulia "huyu mmama ni msafi jamani, yaani anafanya mambo yake kwa usafi". Hapo anamuongelela mtoto wake mdogo, (na bibi yangu ni alikuwa msafi kupindukia). Sisi wajukuu ndiyo hata hatukumbuki

Ila sasa bibi yangu mkubwa upande wa baba, jamani ni mzee lakini atanisimulia stories hata za nilipokuwa na miaka 5, anakumbuka vitu sanaaa.

Hahahahhaah...eti huyu mama msafi jaman🤣🤣..mie hata vya chuoni (10yrs ago) nilishahau jaman...dah..dingilai had safari za way bak 1960's anahadithia...mimi sina kitu...zaidi ya kukumbuka scenes za labor ward
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shikamoo Labor
Hahahahhaah...eti huyu mama msafi jaman[emoji1787][emoji1787]..mie hata vya chuoni (10yrs ago) nilishahau jaman...dah..dingilai had safari za way bak 1960's anahadithia...mimi sina kitu...zaidi ya kukumbuka scenes za labor ward
 
Back
Top Bottom