Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hiyo ID yako ni jibu toshaUtaelewa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ID yako ni jibu toshaUtaelewa tu
TeteteteMwanga gani wakati giza la Kaburi ndio linamgoja
Anapumzika kwa amaani...mtekelezaji na muwajibikaji na mpenda kweliMwanga gani wakati giza la Kaburi ndio linamgoja
Usijadili ID yangu ilishajadiliwa zamaniHiyo ID yako ni jibu tosha
Yeye ndie amebipu corona ikampigia chali!!Anapumzika kwa amaani...mtekelezaji na muwajibikaji na mpenda kweli
Nimekwambia ni jawabu toshaUsijadili ID yangu ilishajadiliwa zamani
Tutaenda kuhiji kwenye kaburi lakeHawa Wanaume wazima wanalia mpaka aibu
Bahati nzuri haiogopi bunduki wala mabomuYeye ndie amebipu corona ikampigia chali!!
Butiama mnakuacha au kwasababu Baba wa Taifa hakuwa Msukuma?Tutaenda kuhiji kwenye kaburi lake
Hiyo ni mbegu ya ukombozi wa Africa imepandwaYeye ndie amebipu corona ikampigia chali!!
Kasahau mamlaka aliyonayo rais magufuli kila siku alikua anafanya mengi kinyume hadi anatamba na kusema yeye ndiyo mwishoNamsikiliza hapa anayoyaongelea, kubwa zaidi anasema Rais hatakiwi 'kuongeza wala kupunguza' yale yaliyopangwa kutekelezwa.
Anasisitiza 'YAMEANDIKWA' kwamba 'pitia zile kurasa 303'. Je, hapa Rais Samia atakuwa bendera fata upepo au nivipi?
Vita hiyo ndio kwanza imeanzaAendelee kupigana na vita vya uchumi
Hahahahahaha nasubilia mshindiVita hiyo ndio kwanza imeanza
Mbegu ya kijinga sana,Mbegu tunayoisubiri ni Tundu Antipass Mughwai LissuHiyo ni mbegu ya ukombozi wa Africa imepandwa
Mbegu Dume imepandwa leo...Mbegu ya kijinga sana,Mbegu tunayoisubiri ni Tundu Antipass Mughwai Lissu
Tokea lini Maiti ikaota Mataga banaMbegu Dume imepandwa leo...
Wabongo kwa kupenda uzushi hamjambo.una uhakika na hilo unalosema?Kwa maelezo ya Majaliwa kuna uwezekano watu walitaka zima mashine ya mama yake JPM asiendelee kupumua aungane na mtoto wake...
Heko rais kwa kulisimamia hilo...