Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Namsikiliza hapa anayoyaongelea, kubwa zaidi anasema Rais hatakiwi 'kuongeza wala kupunguza' yale yaliyopangwa kutekelezwa.

Anasisitiza 'YAMEANDIKWA' kwamba 'pitia zile kurasa 303'. Je, hapa Rais Samia atakuwa bendera fata upepo au nivipi?
Kasahau mamlaka aliyonayo rais magufuli kila siku alikua anafanya mengi kinyume hadi anatamba na kusema yeye ndiyo mwisho
 
Kwa maelezo ya Majaliwa kuna uwezekano watu walitaka zima mashine ya mama yake JPM asiendelee kupumua aungane na mtoto wake...
Heko rais kwa kulisimamia hilo...
Wabongo kwa kupenda uzushi hamjambo.una uhakika na hilo unalosema?
 
Back
Top Bottom