Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Lina vitairi chini, kama mageti ya kisasa yaakua na reli chini yanaslaidi tu. wakati wanaweka udongo lilikua limevutwa, walipomaliza walilivuta tu.
Swali langu hivyo vireli/vitairi ni vya kudumu au wanavitoa?
Duuu kweli umetoka koromitje
 
Umeongea point Sana kwakweli sio rahisi kuongoza nchi jmn ikiwa familia tu zenye watu wachache zinavunjika kila siku kwa kukosa uongozi
Kwani kuna ulazima wa kuongoza Nchi kama ukijua uwezo wako mdogo!?

Jitathmini na ukijuona unaweza, gombea. Wananchi wakikuchagua na ikitokea umeshindwa kazi, usianze kutafuta huruma. Kama hali ni mbaya sana, jiuzulu!
 
mbona unakuwa mkali sana mkuu
 
Ila viongozi wajifunze jamani. Kuishi na watu vizuri (hasa wanaowaongoza), hekima, busara, matendo mazuri (wanaita amal njema).. ni silaha nzuri sana kwa mwanadamu kwa siku kama ya leo ya kuanza maisha mapya ya kaburini.

Sote tukumbuke kuwa kuna kifo. Maisha ya dunia ni mafupi sana. Ni muhimu sana kuishi kwa kukumbuka kuwa tutaondoka hapa duniani. Mbaya zaidi hatujui ni muda gani.

Leo kwa kweli imenisikitisha sana kuona JPM ndio tayari kamaliza safari yake. Sasa rasmi yuko mavumbini. Vile alivyokuwa, kweli leo yuko mavumbini!! Si juzi tu hapa alikuwa anaendelea kutoa amri amri. Juzi tu watu wake wale walikuwa wanaendelea kufukuzana kwenye kujipendekeza kwake ili wapate mavyeo / wengine watunze vyeo vyao wasitumbuliwe. Leo hayupo?!! Aisee [emoji2296]
 
Kwani kuna ulazima wa kuongoza Nchi kama ukijua uwezo wako mdogo!?

Jitathmini na ukijuona unaweza, gombea. Wananchi wakikuchagua na ikitokea umeshindwa kazi, usianze kutafuta huruma. Kama hali ni mbaya sana, jiuzulu!
Tatizo marupurupu yaliyopo huko ukishaonja siyo rahisi kuamua kujitoa kwa hiari
 
Ila viongozi wajifunze jamani. Kuishi na watu vizuri (hasa wanaowaongoza), hekima, busara, matendo mazuri (wanaita amal njema).. ni silaha nzuri sana kwa mwanadamu kwa siku kama ya leo ya kuanza maisha mapya ya kaburini.

Sote tukumbuke kuwa kuna kifo. Maisha ya dunia ni mafupi sana. Ni muhimu sana kuishi kwa kukumbuka kuwa tutaondoka hapa duniani. Mbaya zaidi hatujui ni muda gani.

Leo kwa kweli imenisikitisha sana kuona JPM ndio tayari kamaliza safari yake. Sasa rasmi yuko mavumbini. Vile alivyokuwa, kweli leo yuko mavumbini!! Si juzi tu hapa alikuwa anaendelea kutoa amri amri. Juzi tu watu wake wale walikuwa wanaendelea kufukuzana kwenye kujipendekeza kwake ili wapate mavyeo / wengine watunze vyeo vyao wasitumbuliwe. Leo hayupo?!! Aisee [emoji2296]
Hapa ndiyo Mungu anajitofautisha na kiumbe yeyote awaye maana katuficha hiyo siku ya kuondoka hapa duniani.
 
Image 26-3-2021 at 5.11 PM.jpg
 
Back
Top Bottom