Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliombea aendelee kununa na kulia maisha yake yote?Mama janeti fainali anacheka...
Dah
Kwa hiyo ufipa hamjui kua maisha yana mwisho?Ndiyo mjue hasa nyinyi MATAGA kuwa maisha ya duniani yana mwisho
Duuu kweli umetoka koromitjeLina vitairi chini, kama mageti ya kisasa yaakua na reli chini yanaslaidi tu. wakati wanaweka udongo lilikua limevutwa, walipomaliza walilivuta tu.
Swali langu hivyo vireli/vitairi ni vya kudumu au wanavitoa?
Acha unafiki...endelea kusherehekea kifo cha JPM na endelea kusherehekea familia yake kua na jazba...Uliombea aendelee kununa na kulia maisha yake yote?
Sio lazima ukoment kila wazo langu humu...Duuu kweli umetoka koromitje
Huyo ndiyo kiboko yenu nyinyi MATAGA maana haitaji wauza umbeaUrais kiboko, mama samia naona kaanza kuzeeka! Naona wrinkles usoni ambazo sijawahi ziona kwake usoni
[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani kuna ulazima wa kuongoza Nchi kama ukijua uwezo wako mdogo!?Umeongea point Sana kwakweli sio rahisi kuongoza nchi jmn ikiwa familia tu zenye watu wachache zinavunjika kila siku kwa kukosa uongozi
mbona unakuwa mkali sana mkuuKwani kuna ulazima wa kuongoza Nchi kama ukijua uwezo wako mdogo!?
Jitathmini na ukijuona unaweza, gombea. Wananchi wakikuchagua na ikitokea umeshindwa kazi, usianze kutafuta huruma. Kama hali ni mbaya sana, jiuzulu!
Wewe unapokuwa una comment za kwangu mbona sikukatazi?Sio lazima ukoment kila wazo langu humu...
Wewe UVCCM wacha unafikiAcha unafiki...endelea kusherehekea kifo cha JPM na endelea kusherehekea familia yake kua na jazba...
Acha unafiki wewe bavicha
Sisi tunajua kuwa maisha yana mwisho ndiyo maana tuna waheshimu watu wa rika zote.Kwa hiyo ufipa hamjui kua maisha yana mwisho?
Magaidi ni MATAGA wote kama wewe ambao hamna ya kuishi zaidi ya kuuza majungu.Na wewe pia gaidi tu,huna jipya.
Amezungushwa kweri-kweriBora tu, imetosha sasa, marehemu kazungushwa sana.
Tatizo marupurupu yaliyopo huko ukishaonja siyo rahisi kuamua kujitoa kwa hiariKwani kuna ulazima wa kuongoza Nchi kama ukijua uwezo wako mdogo!?
Jitathmini na ukijuona unaweza, gombea. Wananchi wakikuchagua na ikitokea umeshindwa kazi, usianze kutafuta huruma. Kama hali ni mbaya sana, jiuzulu!
Hapa ndiyo Mungu anajitofautisha na kiumbe yeyote awaye maana katuficha hiyo siku ya kuondoka hapa duniani.Ila viongozi wajifunze jamani. Kuishi na watu vizuri (hasa wanaowaongoza), hekima, busara, matendo mazuri (wanaita amal njema).. ni silaha nzuri sana kwa mwanadamu kwa siku kama ya leo ya kuanza maisha mapya ya kaburini.
Sote tukumbuke kuwa kuna kifo. Maisha ya dunia ni mafupi sana. Ni muhimu sana kuishi kwa kukumbuka kuwa tutaondoka hapa duniani. Mbaya zaidi hatujui ni muda gani.
Leo kwa kweli imenisikitisha sana kuona JPM ndio tayari kamaliza safari yake. Sasa rasmi yuko mavumbini. Vile alivyokuwa, kweli leo yuko mavumbini!! Si juzi tu hapa alikuwa anaendelea kutoa amri amri. Juzi tu watu wake wale walikuwa wanaendelea kufukuzana kwenye kujipendekeza kwake ili wapate mavyeo / wengine watunze vyeo vyao wasitumbuliwe. Leo hayupo?!! Aisee [emoji2296]
Nyie za kwenu zipo kwa naniMataga akili zenu zote ziko kwa Lissu hamlali?