Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??
Mashishi ndo yalivyo mkuu. Ila mazishi ni tofauti kidogo.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??
Ile yenye picha sio kaburi ni kifuniko cha kaburi hilo waliloweka mchanga..nasikia baada ya kuwek mchanga wanalisogeza na kufunika pale juu..yaani ni zege lililotengenezwa kitaalam flan hivi (smart kaburi).

Ninavosikia sikia ila sina uhakika
 
Ule ni mfuniko wa kaburi kuna video mtandaon inaonesha kabla haujasukumwa kufunika kaburi na baada ya kufunika
 
Back
Top Bottom