Ulojo huoMama Samia tunaimani nae,kimetoka chuma kinaingia chuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulojo huoMama Samia tunaimani nae,kimetoka chuma kinaingia chuma.
huna sifa ya kuwa MATAGAMimi siyo MATAGA kama wewe
Mashishi ndo yalivyo mkuu. Ila mazishi ni tofauti kidogo.Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??
Ile yenye picha sio kaburi ni kifuniko cha kaburi hilo waliloweka mchanga..nasikia baada ya kuwek mchanga wanalisogeza na kufunika pale juu..yaani ni zege lililotengenezwa kitaalam flan hivi (smart kaburi).Wakuu hii inakaaje, kwamba nimeona kaburi mbili, moja ikiwa imekamirika ambayo inapicha yake,na wakati huo sehem nyinginea ipo wazi ambapo viongozi wameweka mchanga , kwangu haya ni mazalau KWA watz KWA nini , ??
Mazishi...Mashishi gani tena?
Mimi nilidhani ule ulikuwa mfuniko baada ya kumaliza kuweka mwili mfuniko ukasogezwa kuziba shimo, sikuwa na namna ikabidi kujiaminisha hivyo.
We jmaa ni chizi aiseeWalivyoenda kununua kaburi walipewa na la nyongeza
Hahahaaa sasa si namuelewesha mkuu. Kama kashindwa kujiongeza kuwa ule ni mfuniko wacha tupelekane chaka tu kwenye mashisha sijui mashishiWe jmaa ni chizi aisee
Hapo nadhani hana swali la ziada hahahahahaHahahaaa sasa si namuelewesha mkuu. Kama kashindwa kujiongeza kuwa ule ni mfuniko wacha tupelekane chaka tu kwenye mashisha sijui mashishi
Ulikuwa sahihi. It was a sliding lid.Mimi nilidhani ule ulikuwa mfuniko baada ya kumaliza kuweka mwili mfuniko ukasogezwa kuziba shimo, sikuwa na namna ikabidi kujiaminisha hivyo.
Ndivyo ilivyoMimi nilidhani ule ulikuwa mfuniko baada ya kumaliza kuweka mwili mfuniko ukasogezwa kuziba shimo, sikuwa na namna ikabidi kujiaminisha hivyo.
Hahaha kibogoyo huyoMashishi gani tena?
Na kamwe siwezi kuwa MATAGAhuna sifa ya kuwa MATAGA
Habari za social media ni sahihi zaidi kuliko hao akina Majaliwa. Si hao waliuosema Rais yuko busy akipekua mafaili wakati tayari alikwisha kuaga dunia? Utawaaminije hao?Leo jioni ulimsikia waziri mkuu kuhusu mama yake na jpm? Au unaongelea mama yupi? Unasikiliza sana rumours za vijiweni
Na ndivyo ilivyokua.Mimi nilidhani ule ulikuwa mfuniko baada ya kumaliza kuweka mwili mfuniko ukasogezwa kuziba shimo, sikuwa na namna ikabidi kujiaminisha hivyo.