Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Ivi alikaushwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ati machief huzilwa na mtu hai mmoja hata Madima mazishi yake hayakuonekanaWaliwanyima watz haki ya kuona akishushwa hisia za wengi zimetawala uenda hakuzikwa pale.Lakini zinapingana mbona waliweka udongo waaga.
Jikite kwenye mada.kabur nikabur2 liwe lijengwa kwa zahabu or limefukiwa kwa udongo! R I P jiwe Mwenyez mungu akupunguzie azabu ya kabur
Naona vyombo vya habari vilielekeza camera pembeni wakati wa kufunika sijui kulikuwa na siri gani nyuma ya paziaHebu mliokuwa pale kwenye kumzika JPM mtuambie ule mfuniko wa tyles uliwekwaje pale? Je ulibebwa au ulipachikwa vipi? Mlioangalia mtanielewa namaanisha Nini.
Huyu ilionyeshwa na ITV ilikuwa wazi, ila juzi TBC wametuondoa kwenye reli tukaona ndani ya dakika 3 mambo yamebadilikaAti machief huzilwa na mtu hai mmoja hata Madima mazishi yake hayakuonekana
Sikumbuki ya mtoto wa Burito ilikuaje 1999.
Wakati TBC wanakuondoa kwenye "reli" na ule mfuniko ukafunika kaburi kwa kutumia "reli".....Huyu ilionyeshwa na ITV ilikuwa wazi, ila juzi TBC wametuondoa kwenye reli tukaona ndani ya dakika 3 mambo yamebadilika
Kama huwez kitu au hukijui uwe unatuliza kwanza iyo kichwa yako sas sio kuropoka ropoka.siwez kujibu mambo yamakabur Mimi siyajui, Ngoja waje wafu watakujibu
Eti kabla hajapiga chafya mheshimiwa [emoji23][emoji23]Lile walijengea kwenye reli ya chuma na mfuniko wake, harafu unasukuma linajifunika wakimaliza wanachapia na cement kali ili wasije wakasukuma wakora kabla hajapiga chafya mheshimiwa
Huwa na mashaka sana na uwezo wa kufikiri wa V.U kama huyo Zabronsiwez kujibu mambo yamakabur Mimi siyajui, Ngoja waje wafu watakujibu
Anazingua yan tuache kujadili mambo ya maana tuanze kujadili makabur nyumba ya mfu ety imejengwajeHuwa na mashaka sana na uwezo wa kufikiri wa V.U kama huyo Zabron
Dunia inakuwa kiufundi. Ufuniko ulitembea kwenye reli zake ni wa kuusukuma . Kabla walipaka gundi ni kitu kama hicho then wazee wamanyota wakausukumaHebu mliokuwa pale kwenye kumzika JPM mtuambie ule mfuniko wa tyles uliwekwaje pale? Je ulibebwa au ulipachikwa vipi? Mlioangalia mtanielewa namaanisha Nini.
Waliwanyima watz haki ya kuona akishushwa hisia za wengi zimetawala uenda hakuzikwa pale.Lakini zinapingana mbona waliweka udongo waaga.
Wanadai wakina nani? Wakati television zote zilikuwa zinaonyesha! Amezikwa Kidini na serikali ndivyo tunavyo elewa sisi tulio ona kwenye vituo vyote vya luninga. Hayo ya mila mimi sijaonaWanadai alizikwa kimila
Maadili ya uandishi wa habari hairuhusiwi jambo hilo, kuna baadhi ya binadamu uelewa wao ni tatizo sinema za utupu zinaonyesha kwa watoto ni jambo bovu kimaadili. Hutaweza pata picha Hata ufanyeje ila kwa familia wanazo wao kama wao. Utamuanikaje kiongozi? Huoni si busara kufanya hivyo: Hata pope ilibidi mengine yawe ni siri ili kulinda sheshima ya kiongozi.Video ya jeneza likishushwaaa kaburini wakuu aliyenayo aiweke hapaa
Hii finishing ilifanyika saa ngapi au ni teknolojia gani ilitumika hapa