Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Waliwanyima watz haki ya kuona akishushwa hisia za wengi zimetawala uenda hakuzikwa pale.Lakini zinapingana mbona waliweka udongo waaga.
 
Hebu mliokuwa pale kwenye kumzika JPM mtuambie ule mfuniko wa tyles uliwekwaje pale? Je ulibebwa au ulipachikwa vipi? Mlioangalia mtanielewa namaanisha Nini.
Dunia inakuwa kiufundi. Ufuniko ulitembea kwenye reli zake ni wa kuusukuma . Kabla walipaka gundi ni kitu kama hicho then wazee wamanyota wakausukuma
 
Wanadai alizikwa kimila
Wanadai wakina nani? Wakati television zote zilikuwa zinaonyesha! Amezikwa Kidini na serikali ndivyo tunavyo elewa sisi tulio ona kwenye vituo vyote vya luninga. Hayo ya mila mimi sijaona
 
Unatuliza sisi si uende huko a
ukajue zaidi

Ova
 
Video ya jeneza likishushwaaa kaburini wakuu aliyenayo aiweke hapaa
Maadili ya uandishi wa habari hairuhusiwi jambo hilo, kuna baadhi ya binadamu uelewa wao ni tatizo sinema za utupu zinaonyesha kwa watoto ni jambo bovu kimaadili. Hutaweza pata picha Hata ufanyeje ila kwa familia wanazo wao kama wao. Utamuanikaje kiongozi? Huoni si busara kufanya hivyo: Hata pope ilibidi mengine yawe ni siri ili kulinda sheshima ya kiongozi.
 
1.jpg
Hii finishing ilifanyika saa ngapi au ni teknolojia gani ilitumika hapa
 
Back
Top Bottom