Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Uwezo wa kuongoza na ushawishi anao sema aliingia kwenye mikono ya watoto wa mjini, hayo ya dini mi ndo naskia kwako..si hasira, don't like nosense, kwa vile wewe ulimjua wakati huo unadhani na kwa wengine ni hivyo..nawanda aliondolewa uDC na Magufuli, he s no body dini yake ndio imemrudisha hapo matokeo ndio hayo yaliyomfika, bora hata rajabu rutengwe..kimaadili was ok.
Hakuna😅 nani asiyejua atashinda
..hapo unapodai unasikia leo, ndio ujinga wako ulipo!Uwezo wa kuongoza na ushawishi anao sema aliingia kwenye mikono ya watoto wa mjini, hayo ya dini mi ndo naskia kwako
Surah Al-Ma'idah (5:8):Kisheria kesi haikuwa na uzito , demu alikuwa mbabaifu na inaonyesha anashirikiana na wazazi wake kublackmail watu
Kama kutazama vitu/watu katika angle ya kidini ndo ujanja acha Mimi niwe mjinga..hapo unapodai unasikia leo, ndio ujinga wako ulipo!
Wewe dini yako imekupa cheo gani? Kwaiyo unataka kesema dini yake ndo iliyomtoa kwenye cheo kipindi Cha magufuli?..si hasira, don't like nosense, kwa vile wewe ulimjua wakati huo unadhani na kwa wengine ni hivyo..nawanda aliondolewa uDC na Magufuli, he s no body dini yake ndio imemrudisha hapo matokeo ndio hayo yaliyomfika, bora hata rajabu rutengwe..kimaadili was ok.
...na iwe mara mbili ya ulivyo sasa.Kama kutazama vitu/watu katika angle ya kidini ndo ujanja acha Mimi niwe mjinga
Acha kugeuza, alitolewa kwa underperfomance, dini yake ikamrudisha..si uunaona ulivyo mjinga?Wewe dini yako imekupa cheo gani? Kwaiyo unataka kesema dini yake ndo iliyomtoa kwenye cheo kipindi Cha magufuli?
Ila nikiwa na njaa tumbo haliwahusu! Ila yas hawataki iguswe! Au sio?Yas yako mali yao, na nchi hii pia yao tutafanyaje sasa.
Hakuna haki iliyokandamizwa.Hakuna tena umoja wa kitaifa fanyeni mnachoona kinafaa, ikiweza muwaue watanzania wote na kubaka maana haki za watanzania mnazikandamiza. Wtf
Wewe ndo mjinga basi na wewe dini yako imekuridishia Nini baada ya kuunderperform? Kama aliweza kurudishwa Kwa udini kwanini hakutolewa Kwa udini?Acha kugeuza, alitolewa kwa underperfomance, dini yake ikamrudisha..si uunaona ulivyo mjinga?
Ya Ditopile ndiyo ilikuwa kesi, hii kesi ya mapenzi ni upuuzi tu.Ukiwaona Ditopile wa mzuzuri alimfumua dereva ubongo njia panda ya kawe Lugalo na akashinda kesi sembuse RC aliyekula mbususu?
Mie hata sipo hapo nipo kwa uchaguzi tuHakuna haki iliyokandamizwa.
Tabia ya huyo binti ya kusingizia kubakwa na wapenzi wake imekwama. Alifanikiwa tu kumuonea bodaboda wa Mpanda kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kuweka wakili.