Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu

Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu

..si hasira, don't like nosense, kwa vile wewe ulimjua wakati huo unadhani na kwa wengine ni hivyo..nawanda aliondolewa uDC na Magufuli, he s no body dini yake ndio imemrudisha hapo matokeo ndio hayo yaliyomfika, bora hata rajabu rutengwe..kimaadili was ok.
Uwezo wa kuongoza na ushawishi anao sema aliingia kwenye mikono ya watoto wa mjini, hayo ya dini mi ndo naskia kwako
 
Kwahiyo huyo dada alikuwa muongo. Je anachukuliwa hatuwa gani ya kumsingizia mtu au kulikuwa na mazungumzo kwenye meza maana haiwezekani ikawa kirahisi hivyo halafu mnataka mambo haya yakomeshwe huku kama mnawadhalilisha wahusika tu.
 
Kisheria kesi haikuwa na uzito , demu alikuwa mbabaifu na inaonyesha anashirikiana na wazazi wake kublackmail watu
Surah Al-Ma'idah (5:8):
"Enyi mlioamini! Kuweni wenye kusimama kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mkitoa ushahidi kwa uadilifu. Wala chuki ya watu isikuchocheeni kutokufanya uadilifu. Fanyeni uadilifu; hiyo ndiyo iliyo karibu zaidi na kumcha Mungu. Na mcheni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu anazo habari za yote mnayoyatenda."
 
Pole boss Mungu aonae sirini anaujua ukweli. Basi tuzidi sana kumwomba yeye utupae uzima na afya ya akili na mwili
 
..si hasira, don't like nosense, kwa vile wewe ulimjua wakati huo unadhani na kwa wengine ni hivyo..nawanda aliondolewa uDC na Magufuli, he s no body dini yake ndio imemrudisha hapo matokeo ndio hayo yaliyomfika, bora hata rajabu rutengwe..kimaadili was ok.
Wewe dini yako imekupa cheo gani? Kwaiyo unataka kesema dini yake ndo iliyomtoa kwenye cheo kipindi Cha magufuli?
 
Hakuna tena umoja wa kitaifa fanyeni mnachoona kinafaa, ikiweza muwaue watanzania wote na kubaka maana haki za watanzania mnazikandamiza. Wtf
Hakuna haki iliyokandamizwa.

Tabia ya huyo binti ya kusingizia kubakwa na wapenzi wake imekwama. Alifanikiwa tu kumuonea bodaboda wa Mpanda kwa kuwa hakuwa na uwezo wa kuweka wakili.
 
Back
Top Bottom