Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Uwezo wa kuongoza na ushawishi anao sema aliingia kwenye mikono ya watoto wa mjini, hayo ya dini mi ndo naskia kwako..si hasira, don't like nosense, kwa vile wewe ulimjua wakati huo unadhani na kwa wengine ni hivyo..nawanda aliondolewa uDC na Magufuli, he s no body dini yake ndio imemrudisha hapo matokeo ndio hayo yaliyomfika, bora hata rajabu rutengwe..kimaadili was ok.