Nzi ni nyuki mjinga
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 1,073
- 1,556
Mkataba wa pesa nyingi hivyo unasain kwa niaba? Hatuna limit ya aina ya mikataba inayoruhusu kukaimu?Walisaini juu kwa juu......eti kwa niaba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkataba wa pesa nyingi hivyo unasain kwa niaba? Hatuna limit ya aina ya mikataba inayoruhusu kukaimu?Walisaini juu kwa juu......eti kwa niaba!
Ndio sababu ya kuchunguzwa kwao!Mkataba wa pesa nyingi hivyo unasain kwa niaba? Hatuna limit ya aina ya mikataba inayoruhusu kukaimu?
mteuaji bi binadamu kama ulivyo wewe na mimiMtu aliywmewahi kuwa na mashitaka ya rushwa hakupaswa kuwa waziri in the first place.
Mteuaji hayupo makini au ana sababu zake binafsi za kufanya hivyo.
Nilishangaa sana Kangi kuteuliwa kuwa waziri. Hafai!
Kwa niaba ingeweza kufanyika muda wowote tu, AG akiwepo ofisini au la.Walisaini juu kwa juu......eti kwa niaba!
Kama hakuna barua, hakukuwa na sababu ya kutaimu absence ya AGBarua ya kukaimishwa uliiona bwashee?!
Inawezekana sisi Tanzania tukawa 'wajinga na wapuuzi' kufanya vitu kienyeji, itashangaza kama kampuni ya Romania nao watakuwa 'wajinga na wapuuzi' kufanya vitu kipuuzi na kukubali saini kutoka kwa watu wasio na mamlakaWalisaini juu kwa juu......eti kwa niaba!
Baada ya wewe kukukuta !Hata boss wa Lugola naye siku moja yatamkuta na yeye tusubiri.
Kwa niaba ya AG ni tofauti na kwa niaba ya vyeo vingine!Kwa niaba ingeweza kufanyika muda wowote tu, AG akiwepo ofisini au la.
Maneno ya kuambiwa..Kwa niaba ya AG ni tofauti na kwa niaba ya vyeo vingine!
Hilo la kutaimu limekaa kipolisi zaidi bwashee!Maneno ya kuambiwa..
Msingi ni neno 'walitaimu'
Wana guts sana. Sijui nani atakuwa aliwapa huo ujasiri.Ndio sababu ya kuchunguzwa kwao!
Jimbo anaandaliwa kipenzi cha watu musibaz.
Lugolat aandae shamba la kulima mbogamboga
Sent using Jamii Forums mobile app