Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

Sasa kama unafahamu tupe jibu ujuaji mwingi mbele giza ngoja Kangi apekuliwe Kwanza atakuja kukupa majibu ipi mbivu ipi mbichi
Stay tuned knyamaupanga station
unaona sasa ,bado haujaelewa, okey ni hivi inakuwaje kangi anatengeneza dili mpaka linaiva na kupakuliwa ilihali usalama wa taifa upo, je hawaezi kutoa taarifa za awali jambo likazuiliwa mapema , inakuwaje watu wanapiga kabisa nyie ndio mstuke, kangi hakupaswa kuchunguzwa na TAKUKURU , lilikuwa ni jukumu la Tiss kumtia hatiani moja kwa moja, huu mzunguko wa sasa umekaa kisiasa zaidi, nadhani utakuwa umenipata japo kidogo misingi ya swali langu,weledi wa hizo idara upi ni :'(bora?)
 
unaona sasa ,bado haujaelewa, okey ni hivi inakuwaje kangi anatengeneza dili mpaka linaiva na kupakuliwa ilihali usalama wa taifa upo, je hawaezi kutoa taarifa za awali jambo likazuiliwa mapema , inakuwaje watu wanapiga kabisa nyie ndio mstuke, kangi hakupaswa kuchunguzwa na Takukuru , lilikuwa ni jukumu la Tiss kumtia hatiani moja kwa moja, huu mzunguko wa sasa umekaa kisiasa zaidi, nadhani utakuwa umenipata japo kidogo misingi ya swali langu,weledi wa hizo idara upi ni :'(bora?)
Hatuna balozi wetu Romania?
 
Dunia tambala bovu.

Mwosha huoshwa

Siri ya mtungi aijuaye kata.
Adhabu ya kaburi aijuaye maiti.
 
unaona sasa ,bado haujaelewa, okey ni hivi inakuwaje kangi anatengeneza dili mpaka linaiva na kupakuliwa ilihali usalama wa taifa upo, je hawaezi kutoa taarifa za awali jambo likazuiliwa mapema , inakuwaje watu wanapiga kabisa nyie ndio mstuke, kangi hakupaswa kuchunguzwa na Takukuru , lilikuwa ni jukumu la Tiss kumtia hatiani moja kwa moja, huu mzunguko wa sasa umekaa kisiasa zaidi, nadhani utakuwa umenipata japo kidogo misingi ya swali langu,weledi wa hizo idara upi ni :'(bora?)
unaona sasa ,bado haujaelewa, okey ni hivi inakuwaje kangi anatengeneza dili mpaka linaiva na kupakuliwa ilihali usalama wa taifa upo, je hawaezi kutoa taarifa za awali jambo likazuiliwa mapema , inakuwaje watu wanapiga kabisa nyie ndio mstuke, kangi hakupaswa kuchunguzwa na Takukuru , lilikuwa ni jukumu la Tiss kumtia hatiani moja kwa moja, huu mzunguko wa sasa umekaa kisiasa zaidi, nadhani utakuwa umenipata japo kidogo misingi ya swali langu,weledi wa hizo idara upi ni :'(bora?)
Noted chief zote ni Bora na hapo kila moja inafanya kile inapaswa kufanywa kulingana na Sheria na majukumu ya Taasisi husika.
Tiss=collect, analyse, disseminate
Pccb=collect,analyse,investigate, prosecute then jail, fine, confiscate or both fine and jail nilikuelewa sawa so hapo nahisi kwa mbali utaanza kuelewa nini/kipi Bora lakini system zinategemeana hakuna kilicho Bora kila chombo kinamsaada kwa chombo kingine pia maelekezo toka mbele
 
Tatizo hawa voingozi wanapokua madarakani wanahisi wao ndio pekee wenye nguvu na mamlaka ndani ya nchi hii.mahalani mzee kangi alitumia jeshi la police kama mali yake anaweza kuamrisha makamanda mara toka nje ya kikao lkn leo wale aliokua anawaamrisha hawapo tena upande wake sasa ndio hao wanamkamata na kumweka ndani tena pasipo staha.Kangi nenda baba kapambane na TAKUKURU WENGINE WATAKUFWATA.
 
Ni
Hata boss wa Lugola naye siku moja yatamkuta na yeye tusubiri.
Ni Mungu pekee ambaye ni alfa na omega, ambaye hawezi kutwa na chochote hapa duniani

Tuliobaki wote sisi binadamu, tunaweza onyesha mbwembwe nyingi sana tunapokuwa madarakani, lakini Mungu akiamua anaweza kukupa kishindio kikuu cha anguko lako, ambalo hata wewe mwenyewe huwezi amini
 
Hii Nchi ni tamu mpaka raha.Asiyetaka ahame!! na bado wengine na hata huyo mwingine yanaweza yakamkuta.Kumbukeni kina YONA, BASIL MRAMBA, MANJI .Hii Nchi bwana nani altegemea kama NAPE,MAKAMBA na MWIGULU watafumbwa midomo na kutulia hivi he he he nacheka kwa dharau!!
 
kinusikwetu, Tiss=collect,analyse,disseminate and ungemalizia kila kitu, okey je hawakuwa au walikuwa wanajua kinachoendelea kabla ya kangi kumaliza mchezo??, nahisi walikuwa hawajui au ni udhaifu flani ndani ya taasisi kushindwa kumbana kabla .
 
Karma knows everyone address, Karma is a bitch.

Hili la Lugola ni mfano mzuri sana, alisifia saaana leo aliyekuwa anamsifia ndio anaelekea kumuweka rumande.
Alio wanyanyasa Leo Yeye ndio anawasikiliza, hana mamlaka ya kuamrisha hata mgambo wa Jiji
Kawaida tu hata wanaowasifu kina Mbowe kuna ambayo huwapata baadae

Ref: Zitto, Sumaye, Mwigamba, Kitila, Juliana, Mwampamba nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom