Hili ndo la msingi hapa.
Kama hawa wakubwa Trump na Rubio wanasema hivyo ni very unlikely kuwepo hayo malipo
Wanaweza ila haiwezi kutokea kwaoNawaza yule ambaye Ubalozi wa Marekani ulimtangaza anaminya haki za watu kuishi itakuwaje wakiamua kumchukua na yeye
Kumbe upatikanaji wa wahalifu dhidi ya binadamu ni deal. Sasa waweke dau vichwani mwa watekaji na wauaji wa Tanganyika vijana wapambanie mpunga
Nonsense!!!Wahenga walipata kusema penye udhia tia shekeli na walipata pia kusema.. Kikulacho ki nguoni mwako, halafu wakasema pia hakuna mkate mgumu mbele ya chai..!
Rais wa Venezuela Nicholas Maduro kavamiwa na kikosi maalum cha wapiganaji kutoka Marekani na ndani ya masaa mawili hivi wakamteka yeye tu na mkewe na kuondoka naye mpaka Marekani
Hili si jambo la kawaida hata kidogo na si jepesi kama unavyodhania kwakuwa katika marais waliokuwa wanalindwa duniani na wenye ulinzi wa kila aina basi Maduro alikuwa mmojawapo! Lakini cha kushangaza sana alinyakuliwa kiulaini kabisa!
Katika watu haramu duniani na wenye kujua fitina basi mmarekani anaongoza! Yeye haogopi kuwekeza muda na pesa kwenye lolote alimradi tu atimize lengo lake ama apate anachokitaka!
Kwenye ishu ya Maduro kafanya hivyo.. Aliwekeza muda na pesa ya kutosha sana na hajali kwakuwa anajua itarudi maradufu
Alimchimba Maduro vya kutosha akatumia watu, teknolojia na kila aina ya mbinu mpaka akapata information za kutosha sana
Akapanga njia nyingi za kumnyakua madura.. Kisha akazi short list mpaka zikabaki tatu na kwenye hizo tatu akachagua the best one na kuifanyia kazi
Baada ya ushushushu wa kutosha sana akaona njia pekee ni ya kupandikiza mashushu wa kutosha kwenye nyendo na mienendo ya maduro 24/7 kisha ndio akatangaza dau la dola million 50
Hizi huyo aliyefanikisha kwa asilimia 90 atazipata lakini hatazitumia pekeyake.. Ana timu take pia.. Na hizo ni nje ya zingine za kazi zilizotumika mpaka mission ilipokamilika
Shushushu mkuu aliyepata mgao mkubwa hataishi tena Venezuela.. Ataenda kuishi marekani ambako ndiko malipo yalipo
Huko atapewa uraia maalum, ulinzi na makazi ya maana
Pesa atakayolipwa ataitumia kwa mujibu wa sheria za Marekani ikiwemo sheria ya kodi
Hiyo pesa itakatwa kodi
Mtaa atakaoishi ni wa hadhi ya juu hivyo gharama zake si mchezo
Atatakiwa kuwa na wafanyakazi kadhaa kwa level yake na atawalipa kulingana na sheria za kazi za marekani
Kwa maisha watakayomfanya aishi anaweza asitoboe miaka kumi. Kwahiyo ni kaka atakuwa ametumika tuu na pesa yote itabaki Marekani
Swalli muhimu.. Je pesa ikiisha atafanyaje? Majibu yapo kwa mjombaake Saddam Hussein aliyemchoma mpwa wake na kwenda kuishi Marekani akiwa kalipwa use million tano tasilimu
Wakati hayo yakiendelea Mmarekani ataweka vibaraka wake watawale Venezuela na atakomba kila atakacho mpaka akinai
Mmarekani hana rafiki wala adui wa kudumu.. Bali ana maslahi ya kudumu popote duniani
Wanaodhani atakuja Tanganyika afanye unyakuo kama alivyofanya Venezuela WASAHAU..! Si kwasababu ya ulinzi bali kwasababu anachokitaka Tanganyika anakipata buree kupitia vibaraka wake!
Alamsiki Tanganyika🥱View attachment 3525235
Jamaa muongoUONGO
Kwenye Press ya Trump jana wamesema hakuna atayelipwa hiyo pesa maana zoezi limefanywa na jeshi la Marekani
hahah! Kikulacho kinguoni mwako, jamaa wamemchomea waliopo kwenye cycle yake mlemle.Kikulacho...!
Wahenga walipata kusema penye udhia tia shekeli na walipata pia kusema.. Kikulacho ki nguoni mwako, halafu wakasema pia hakuna mkate mgumu mbele ya chai..!
Rais wa Venezuela Nicholas Maduro kavamiwa na kikosi maalum cha wapiganaji kutoka Marekani na ndani ya masaa mawili hivi wakamteka yeye tu na mkewe na kuondoka naye mpaka Marekani
Hili si jambo la kawaida hata kidogo na si jepesi kama unavyodhania kwakuwa katika marais waliokuwa wanalindwa duniani na wenye ulinzi wa kila aina basi Maduro alikuwa mmojawapo! Lakini cha kushangaza sana alinyakuliwa kiulaini kabisa!
Katika watu haramu duniani na wenye kujua fitina basi mmarekani anaongoza! Yeye haogopi kuwekeza muda na pesa kwenye lolote alimradi tu atimize lengo lake ama apate anachokitaka!
Kwenye ishu ya Maduro kafanya hivyo.. Aliwekeza muda na pesa ya kutosha sana na hajali kwakuwa anajua itarudi maradufu
Alimchimba Maduro vya kutosha akatumia watu, teknolojia na kila aina ya mbinu mpaka akapata information za kutosha sana
Akapanga njia nyingi za kumnyakua madura.. Kisha akazi short list mpaka zikabaki tatu na kwenye hizo tatu akachagua the best one na kuifanyia kazi
Baada ya ushushushu wa kutosha sana akaona njia pekee ni ya kupandikiza mashushu wa kutosha kwenye nyendo na mienendo ya maduro 24/7 kisha ndio akatangaza dau la dola million 50
Hizi huyo aliyefanikisha kwa asilimia 90 atazipata lakini hatazitumia pekeyake.. Ana timu take pia.. Na hizo ni nje ya zingine za kazi zilizotumika mpaka mission ilipokamilika
Shushushu mkuu aliyepata mgao mkubwa hataishi tena Venezuela.. Ataenda kuishi marekani ambako ndiko malipo yalipo
Huko atapewa uraia maalum, ulinzi na makazi ya maana
Pesa atakayolipwa ataitumia kwa mujibu wa sheria za Marekani ikiwemo sheria ya kodi
Hiyo pesa itakatwa kodi
Mtaa atakaoishi ni wa hadhi ya juu hivyo gharama zake si mchezo
Atatakiwa kuwa na wafanyakazi kadhaa kwa level yake na atawalipa kulingana na sheria za kazi za marekani
Kwa maisha watakayomfanya aishi anaweza asitoboe miaka kumi. Kwahiyo ni kaka atakuwa ametumika tuu na pesa yote itabaki Marekani
Swalli muhimu.. Je pesa ikiisha atafanyaje? Majibu yapo kwa mjombaake Saddam Hussein aliyemchoma mpwa wake na kwenda kuishi Marekani akiwa kalipwa use million tano tasilimu
Wakati hayo yakiendelea Mmarekani ataweka vibaraka wake watawale Venezuela na atakomba kila atakacho mpaka akinai
Mmarekani hana rafiki wala adui wa kudumu.. Bali ana maslahi ya kudumu popote duniani
Wanaodhani atakuja Tanganyika afanye unyakuo kama alivyofanya Venezuela WASAHAU..! Si kwasababu ya ulinzi bali kwasababu anachokitaka Tanganyika anakipata buree kupitia vibaraka wake!
Alamsiki Tanganyika🥱View attachment 3525235
Yule ni ngumu kumkamata.maana Kuna field marshall anaitwa mafweleesianamlinda.Ni hatari huyo jamaaNawaza yule ambaye Ubalozi wa Marekani ulimtangaza anaminya haki za watu kuishi itakuwaje wakiamua kumchukua na yeye
Kajamaa kana andika riwaya kutoka kichwani kwake bila vivid evidence wala reliable source yeyote ile,Jamaa muongo
C unajua tena walevi lazima wapige kelele ili ijulikane nao wapo, hawa ndo wachambuzi walevi wa masuala ya vita za kimataifa 😂Kajamaa kana andika riwaya kutoka kichwani kwake bila vivid evidence wala reliable source yeyote ile,
Halafu kanataka watu waamini,kujitetea kwake kanapost vipost vya kiingereza ambavyo wala havijulikani source yake!
Mbaga Jr
Kha! Toka lini Trump akasema ukweli.UONGO
Kwenye Press ya Trump jana wamesema hakuna atayelipwa hiyo pesa maana zoezi limefanywa na jeshi la Marekani
Unadhani ni nchi ya Shumileta?Kha! Toka lini Trump akasema ukweli.
Kwaiyo anayosemaga yote uongo?Kha! Toka lini Trump akasema ukweli.
The Story of the U.S. Special Forces (Delta Force) Operation on the House of the Late Mullah Muhammad Omar Mujahid Rahimahullah:Wahenga walipata kusema penye udhia tia shekeli na walipata pia kusema.. Kikulacho ki nguoni mwako, halafu wakasema pia hakuna mkate mgumu mbele ya chai..!