AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 7,069
- 5,899
Yapo ya ukweli na yapo ya uongo. Maduro wamemkamata kwa vile jeshi la Venezuela limeriziaKwaiyo anayosemaga yote uongo?
Hilo, vyenginevyo Moto ungewaka pale na wala wasingefanikiwa.
Yapo ya ukweli na yapo ya uongo. Maduro wamemkamata kwa vile jeshi la Venezuela limeriziaKwaiyo anayosemaga yote uongo?
Kwahiyo wewe pekee ndio tukuamini kuwa ni mtaalamu wa kuchambua uongo au ukweli wa Trump? Wewe ndio mwenye kujua muda gani trump kaongea ukweli or vice versa?Yapo ya ukweli na yapo ya uongo. Maduro wamemkamata kwa vile jeshi la Venezuela limerizia
Hilo, vyenginevyo Moto ungewaka pale na wala wasingefanikiwa.
Suala la kuamini huo ni uamuzi wako hakuna aliekulazimisha uamini, hapa kila mmoja anauwezo wake wakifikiri, ndio maana shule tumefaulu kwa viwango tofauti.Kwahiyo wewe pekee ndio tukuamini kuwa ni mtaalamu wa kuchambua uongo au ukweli wa Trump? Wewe ndio mwenye kujua muda gani trump kaongea ukweli or vice versa?
PrimitiveSuala la kuamini huo ni uamuzi wako hakuna aliekulazimisha uamini, hapa kila mmoja anauwezo wake wakifikiri, ndio maana shule tumefaulu kwa viwango tofauti.
Acha fix wewe!!!Yapo ya ukweli na yapo ya uongo. Maduro wamemkamata kwa vile jeshi la Venezuela limerizia
Hilo, vyenginevyo Moto ungewaka pale na wala wasingefanikiwa.
Acha fix wewe!!!Yapo ya ukweli na yapo ya uongo. Maduro wamemkamata kwa vile jeshi la Venezuela limerizia
Hilo, vyenginevyo Moto ungewaka pale na wala wasingefanikiwa.
Usitumie nguvu nyingi kubishana na wapuuzi wanaojifanya much know.. While they know nothingYapo ya ukweli na yapo ya uongo. Maduro wamemkamata kwa vile jeshi la Venezuela limerizia
Hilo, vyenginevyo Moto ungewaka pale na wala wasingefanikiwa.
NdioVp yule wa panama naye si ilikuwa hivi hivi. Noriega
Toa ujinga wako hapa.Yapo ya ukweli na yapo ya uongo. Maduro wamemkamata kwa vile jeshi la Venezuela limerizia
Hilo, vyenginevyo Moto ungewaka pale na wala wasingefanikiwa.
Wahenga walipata kusema penye udhia tia shekeli na walipata pia kusema.. Kikulacho ki nguoni mwako, halafu wakasema pia hakuna mkate mgumu mbele ya chai..!
Rais wa Venezuela Nicholas Maduro kavamiwa na kikosi maalum cha wapiganaji kutoka Marekani na ndani ya masaa mawili hivi wakamteka yeye tu na mkewe na kuondoka naye mpaka Marekani
Hili si jambo la kawaida hata kidogo na si jepesi kama unavyodhania kwakuwa katika marais waliokuwa wanalindwa duniani na wenye ulinzi wa kila aina basi Maduro alikuwa mmojawapo! Lakini cha kushangaza sana alinyakuliwa kiulaini kabisa!
Katika watu haramu duniani na wenye kujua fitina basi mmarekani anaongoza! Yeye haogopi kuwekeza muda na pesa kwenye lolote alimradi tu atimize lengo lake ama apate anachokitaka!
Kwenye ishu ya Maduro kafanya hivyo.. Aliwekeza muda na pesa ya kutosha sana na hajali kwakuwa anajua itarudi maradufu
Alimchimba Maduro vya kutosha akatumia watu, teknolojia na kila aina ya mbinu mpaka akapata information za kutosha sana
Akapanga njia nyingi za kumnyakua madura.. Kisha akazi short list mpaka zikabaki tatu na kwenye hizo tatu akachagua the best one na kuifanyia kazi
Baada ya ushushushu wa kutosha sana akaona njia pekee ni ya kupandikiza mashushu wa kutosha kwenye nyendo na mienendo ya maduro 24/7 kisha ndio akatangaza dau la dola million 50
Hizi huyo aliyefanikisha kwa asilimia 90 atazipata lakini hatazitumia pekeyake.. Ana timu take pia.. Na hizo ni nje ya zingine za kazi zilizotumika mpaka mission ilipokamilika
Shushushu mkuu aliyepata mgao mkubwa hataishi tena Venezuela.. Ataenda kuishi marekani ambako ndiko malipo yalipo
Huko atapewa uraia maalum, ulinzi na makazi ya maana
Pesa atakayolipwa ataitumia kwa mujibu wa sheria za Marekani ikiwemo sheria ya kodi
Hiyo pesa itakatwa kodi
Mtaa atakaoishi ni wa hadhi ya juu hivyo gharama zake si mchezo
Atatakiwa kuwa na wafanyakazi kadhaa kwa level yake na atawalipa kulingana na sheria za kazi za marekani
Kwa maisha watakayomfanya aishi anaweza asitoboe miaka kumi. Kwahiyo ni kaka atakuwa ametumika tuu na pesa yote itabaki Marekani
Swalli muhimu.. Je pesa ikiisha atafanyaje? Majibu yapo kwa mjombaake Saddam Hussein aliyemchoma mpwa wake na kwenda kuishi Marekani akiwa kalipwa use million tano tasilimu
Wakati hayo yakiendelea Mmarekani ataweka vibaraka wake watawale Venezuela na atakomba kila atakacho mpaka akinai
Mmarekani hana rafiki wala adui wa kudumu.. Bali ana maslahi ya kudumu popote duniani
Wanaodhani atakuja Tanganyika afanye unyakuo kama alivyofanya Venezuela WASAHAU..! Si kwasababu ya ulinzi bali kwasababu anachokitaka Tanganyika anakipata buree kupitia vibaraka wake!
Alamsiki Tanganyika🥱View attachment 3525235
Toa ungese wako hapa.Toa ujinga wako hapa.
Hao hawaioni hata senti moja na kila mmoja atadondoshwa katika mazingara ya kutatanisha , waliwafanyia wengi tu .