Aliyemchoma Maduro kapata dola za kimarekani milion hamsini tasilimu, lakini...

Yapo ya ukweli na yapo ya uongo. Maduro wamemkamata kwa vile jeshi la Venezuela limerizia
Hilo, vyenginevyo Moto ungewaka pale na wala wasingefanikiwa.
Kwahiyo wewe pekee ndio tukuamini kuwa ni mtaalamu wa kuchambua uongo au ukweli wa Trump? Wewe ndio mwenye kujua muda gani trump kaongea ukweli or vice versa?
 
Kwahiyo wewe pekee ndio tukuamini kuwa ni mtaalamu wa kuchambua uongo au ukweli wa Trump? Wewe ndio mwenye kujua muda gani trump kaongea ukweli or vice versa?
Suala la kuamini huo ni uamuzi wako hakuna aliekulazimisha uamini, hapa kila mmoja anauwezo wake wakifikiri, ndio maana shule tumefaulu kwa viwango tofauti.
 
Yapo ya ukweli na yapo ya uongo. Maduro wamemkamata kwa vile jeshi la Venezuela limerizia
Hilo, vyenginevyo Moto ungewaka pale na wala wasingefanikiwa.
Usitumie nguvu nyingi kubishana na wapuuzi wanaojifanya much know.. While they know nothing
 

Hao hawaioni hata senti moja na kila mmoja atadondoshwa katika mazingara ya kutatanisha , waliwafanyia wengi tu .
 
Obvious gharama ya hiyo operation yote italipwa na mafuta ya Venezuela, US hanaga kazi ya hasara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…