Aliyemchoma Mwanamke visu 25 na kumsababisha Kifo afariki dunia akiwa chini ya ulinzi

Migogoro katika familia na jamii kwa ujumla kafara inakuwa kwa watoto!
Bahati mbaya mtuhumiwa amefariki ikiwa upande wa pili wa mgogoro haukasikilizwa, na kuna uwezekano hatia kwa upande wake ilikua ni ndogo?
 
Jamaa kweli kifo alikipenda baada ya majaribio ya sumu na nini mwisho amekufa mwenyewe tu!
 
Je, Amekufa kifo cha kawaida (natural death) au kuna mkono wa mtu??
Ni kwa nini siku zote hizo alikuwa bado yupo mahabusu ya Jeshi la Polisi badala ya kupekekwa katika Gereza la Mahabusu chini ya Jeshi la Magereza?????
Huyu si walimkamata alikuwa kwenye hRakati za kutaka kajiua

Ova
 
Migogoro katika familia na jamii kwa ujumla kafara inakuwa kwa watoto!
Bahati mbaya mtuhumiwa amefariki ikiwa upande wa pili wa mgogoro haukasikilizwa, na kuna uwezekano hatia kwa upande wake ilikua ni ndogo?
Kataa ndoa point 3 nyingine washapata

Ova
 
Hawa ndio wale vijana makatiri walio kuwa wanakodishwa enzi zile.

Vijana wa Chama la wana.
 
Visu 25 dah hatari sana
 
Visu 25 dah hatari sana, ni hasira zimlimzidi akili au hisia zilimnyima utulivu mpaka afanye jambo kubwa
 
Kujiendekeza tu, Mapenzi mazuri yakiwa matamu.. Mkianza kugombana achaneni mapema kwa amani. Tatizo sisi binadamu wabishi sana
Kabisa mkuu, Shida huazia hapa, Kati yao mwingine kuingia mazima alafu anajisahau kama kuna kuachana kisha anawekeza vitu vingi kuliko hata kwa wazazi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…