tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Sawa ni jema mmelifanya! Je Soka mbona hamjawahi kufuatilia? Hili ambalo hamhusiki mmelivalia njuga...tusemeje kuhusu Soka et al?Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema Jeshi hilo linamtafuta mwanamke aliyeonekana katika picha mjongeo inayosambaa mitandaoni akimnywesha pombe mtoto mdogo na kumtaka atakapoona taarifa hii ajisalimishe mara moja katika kituo chochote cha Polisi.
View attachment 3466499
Misime amesema tukio hilo ni ukatili wa mtoto na ni kinyume cha sheria, zikiwemo Sheria ya Mtoto Sura ya 13 ya mwaka 2023, kifungu cha 9 (3) na 13, pamoja na Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 ya mwaka 2023, kifungu cha 169 A.
Ufuatiliaji wa kina juu ya tukio hilo umeanza na Jeshi la Polisi limewaomba wananchi wenye taarifa za utambulisho au alipo mwanamke huyo kutoa ushirikiano kwa njia yoyote au kupiga simu kupitia namba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi 0699 998 899.
Huyo single maza, msitafutie matatizo waume za watu.safi sana wasiishie hapo tu, na baba wa mtoto akamatwe pia ...
Huyo single maza, msitafutie matatizo waume za watu.
Ni sawa kwa walichokifanya, LAKINI mbona ya SOKA ET AL hawajawahi shughulikia? code ni kuwa ni wao wanahusikaWanshindwa kufanya mambo ya maana wanaenda kupambana na mambo ya familia za watu
Kosa lake lipi?safi sana wasiishie hapo tu, na baba wa mtoto akamatwe pia ...
kumbe kuna muda una akili kidogo. atasema ile ilikuwa togwa nimeiweka kweny chupa ya pombe........atakushinda tu labda kwa vile mahakama zinapigiwa simuPombe au Mtogwa? 🐼
Kosa lake lipi?
Huna akili ww, hilo pia ni jambo la maanaWanshindwa kufanya mambo ya maana wanaenda kupambana na mambo ya familia za watu
Ndo nimekwambia huyo single maza hajui baba wa mtoto, akiambiwa ataje baba wa mtoto atachomekea mume wa mtu yeyote tu aliyewahi kumwagia ndani.umejuaje? isitoshe hakuna mtoto asiye na baba labda kama ni wa sperm donor child ...
Tuliza makalio, watoto ndio Taifa lenyeweWanshindwa kufanya mambo ya maana wanaenda kupambana na mambo ya familia za watu
Huyo msemaji wa polisi atwambie alipo Mdude, aliyemuua Ali Kibao na wote waliotekwa, kuuawa na wengine kupotezwa.Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema Jeshi hilo linamtafuta mwanamke aliyeonekana katika picha mjongeo inayosambaa mitandaoni akimnywesha pombe mtoto mdogo na kumtaka atakapoona taarifa hii ajisalimishe mara moja katika kituo chochote cha Polisi.