siungi mkono mtoto kupewa pombe ila kuna makabila mfano Iringa mtoto anaweza pewa Ulanzi kidogo,Wachaga mbege,kabila langu kulikuwa na kapembe kadogo ka mbuzi ajili ya watoto.
Ila kusema ukweli sio mtoto wa mgongoni.
Hii kesi waipeleke kwa weledi mama anaweza sema nilikuwa nampa togwa