Aliyemrekodi nesi mbishi apandishwe cheo. Rais Magufuli alimpandisha cheo trafiki aliyemrekodi mke wa Waziri Mahiga

SubiriJibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2009
Posts
1,805
Reaction score
1,876
Kuna clip imesambaa kwenye mitandao ikimuonyesha nesi anayelazimisha kutumika dawa zilizo expire.

Huyu aliyerekodu video ile na ikarushwa tukaifaidi anastahili kupongezwa na kama ni mfanyakazi basi apandishwe cheo.

Mwaka 2016 mke wa Waziri Maiga alifanya kosa la kutoheshimu zebra crossing. Traffic akamsimamisha lakini akawa mbishi kama huyu nesi huku akimtukana yule traffic na kumtambia kwamba yeye ameendesha gari nchi kadhaa na siyo Tanzania tu.

Kuona hivyo yuke traffic akampigia simu bosi wake huku anarekodi mazungumzo. Hatimaye yule mke akapigwa faini.

Yale mazungumzo yaliyorekodiwa yakasambazwa mitandaoni ikwa issue kubwa kama ya huyu nesi.

Rais Magufuli alipoyasikia akaitisha kikao na polisi wa Dsalaam na akamuagiza IGP ampandishe cheo yule traffic.

Sasa huyu aliyerekodi uzembe huu pia apandishwe cheo ili kutia moyo tufume madudu mengi humu maofisini kwa njia hiyo.

Kwanza anatakiwa achukuliwe hatua za kinidhamu, anajua jinsi ya kuwasilisha taarifa za kiofisi, njia aliyotumia si sahihi, kurekodi na kurusha mitandaoni. Inabidi akasome maadili ya Utumishi wa umma

Pili kupanda cheo sio kama mana jangwani, Kuna vigezo na masharti
 
Apadishwe cheo kwa vile alimtaka dada wawatu akamkataa kwa hiyo akaamua amrekodi ili amkomoe
 
Kuna clip imesambaa kwenye mitandao ikimuonyesha nesi anayelazimisha kutumika dawa zilizo expire.

Huyu aliyerekodu video ile na ikarushwa tukaifaidi anastahili kupongezwa na kama ni mfanyakazi basi apandishwe cheo.

Mwaka 2016 mke wa Waziri Maiga alifanya kosa la kutoheshimu zebra crossing. Traffic akamsimamisha lakini akawa mbishi kama huyu nesi huku akimtukana yule traffic na kumtambia kwamba yeye ameendesha gari nchi kadhaa na siyo Tanzania tu.

Kuona hivyo yuke traffic akampigia simu bosi wake huku anarekodi mazungumzo. Hatimaye yule mke akapigwa faini.

Yale mazungumzo yaliyorekodiwa yakasambazwa mitandaoni ikwa issue kubwa kama ya huyu nesi.

Rais Magufuli alipoyasikia akaitisha kikao na polisi wa Dsalaam na akamuagiza IGP ampandishe cheo yule traffic.

Sasa huyu aliyerekodi uzembe huu pia apandishwe cheo ili kutia moyo tufume madudu mengi humu maofisini kwa njia hiyo.

Haaaas hizi ni zama za kunya akili na kubakisha mafii hiyo ndiyo sera ya sa100 tofauti na jpm ambaye aliwatumbua wanya akili wote na kuwabakisha wenye akili .
 
Mbumbumbu mkubwa wee. Waziri mkuu kaunga mkono pendekezo langu la kumshughulikia yule nesi mjinga.

Mambumbumbu kama wewe muangamizwe.

Kwanza anatakiwa achukuliwe hatua za kinidhamu, anajua jinsi ya kuwasilisha taarifa za kiofisi, njia aliyotumia si sahihi, kurekodi na kurusha mitandaoni. Inabidi akasome maadili ya Utumishi wa umma

Pili kupanda cheo sio kama mana jangwani, Kuna vigezo na masharti
 
Sawa amsubilie uyo unae mfananisha nae mpk afufuke
 
Back
Top Bottom