SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,876
Kuna clip imesambaa kwenye mitandao ikimuonyesha nesi anayelazimisha kutumika dawa zilizo expire.
Huyu aliyerekodu video ile na ikarushwa tukaifaidi anastahili kupongezwa na kama ni mfanyakazi basi apandishwe cheo.
Mwaka 2016 mke wa Waziri Maiga alifanya kosa la kutoheshimu zebra crossing. Traffic akamsimamisha lakini akawa mbishi kama huyu nesi huku akimtukana yule traffic na kumtambia kwamba yeye ameendesha gari nchi kadhaa na siyo Tanzania tu.
Kuona hivyo yuke traffic akampigia simu bosi wake huku anarekodi mazungumzo. Hatimaye yule mke akapigwa faini.
Yale mazungumzo yaliyorekodiwa yakasambazwa mitandaoni ikwa issue kubwa kama ya huyu nesi.
Rais Magufuli alipoyasikia akaitisha kikao na polisi wa Dsalaam na akamuagiza IGP ampandishe cheo yule traffic.
Sasa huyu aliyerekodi uzembe huu pia apandishwe cheo ili kutia moyo tufume madudu mengi humu maofisini kwa njia hiyo.