Aliyemshauri Mbowe agombee alidhamiria kumdhalilisha na kukiua Chama


View: https://www.instagram.com/p/DEFgcbnKOvE/?igsh=a21sZGp6ZmplODk4
 
Mama Abdul ndiye mshauri wake mkuu hata hela za kuhonga wajumbe zimetoka kwa Abdul.
 
Mpasuko umekuja pale mbowe alipotangaza kuwa atagombea
 
Mpasuko umekuja pale mbowe alipotangaza kuwa atagombea

Yeye hakuwa na sababu ya kugombea baada ya kuona Hali ilivyo.
Kama wanahofu na Lisu, wangetafuta mtu mwingine ambaye wao na team Mbowe wangemuunga Mkono mtu huyo kivyovyote

Lakini Mbowe nafikiri hakufikiri vizuri. Hata akishinda bado Chama kimepoteza.
Akishindwa ni aibu. Yaani kote ni Hasara
 
Waliomshauri ni maadui zake kikamilifu Hilo huhitaji kuvaa Miwani ya macho kuliona
Kuna mtu wa Ikulu nilikutana naye July akaniambia wao wanachotaka Lisu asigombee 2025 uRais maana ana mvuto kwa wananchi akasema watahakikisha Mbowe na Lisu hawakai pamoja tena sababu Mbowe hana mvuto kwa jamii, nilichukulia ni utani kumbe ilikuwa ni kweli matokeo ake ndiyo hayo nayaona.
 
Machawa ndo wamempoteza.
Coz hao ndo wamemdanganya kuwa hana mpinzani.
 
Siyo suala la kutogombea, kwa nini wewe unaona Mbowe hatakiwi kugombea, hizo hadithi siyo za lweli. Yeyote mwenye nia aweke nia yake na watu wamchague au wamkatae, bila ya hvyo inaleta utata.
 
Ni mamluki ya CCM yaliyopo chadema yanajua kazi yanayoifanya.
 
Siyo suala la kutogombea, kwa nini wewe unaona Mbowe hatakiwi kugombea, hizo hadithi siyo za lweli. Yeyote mwenye nia aweke nia yake na watu wamchague au wamkatae, bila ya hvyo inaleta utata.

Mkuu Mbowe kugombea huoni athari zake hata huku kwenye mitandao ya kijamii?

Vipi uliwa kupiga vijiweni ukajaribu kufuatilia watu wa kawaida wanazungumzaje kuhusu Mbowe kuendelea kugombea?

Hapo ndipo ule msemo usemao: Mtumbuizaji mahiri hujua wakati sahihi wa kuondoka Jukwaani. Hata kama hadhira inamshangilia"
Ni suala la AKILI tuu
 
Uchaguzi ndiyo kipimo cha mtu kushindwa. Uchaguzi uwe wa haki. Zaidi ya hilo ni utata.
Uchaguzi siyo watu wawili hata kumi, atatokea mshindi. Kwa nini umzuie mtu asigombee? Agombee na watu wamkatae. Akikataliwa kihali anakua hana hoja ya utata. Hasa uchaguzi juwe wa haki.
 

Mkuu sio heshima kwa Mbowe KUKATALIWA kwenye Boksi la Kura. Ni aibu na fedheha.
Ndio maana watu wanamshauri aachane na mpango huo.

Hiyo ni aibu kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…