Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #101
Time always tells the truth!
Tuwe na subira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Time always tells the truth!
Inshallah!!!Tuwe na subira
Kama ni kweli basi cha kufanya ni kuahirisha uchaguzi ufanyike baada ya 2025 kisha aandae mtu wa kuwa mwenyekiti.Kwema Kabisa!
Mbowe itampasa amkumbuke aliyemshauri aendelee kugombea.
Familia yake ilimshauri apumzike, kwa mujibu wa maelezo yake. Ni kwa sababu inampenda na kutaka heshima yake idumu.
Lakini kuna kundi jingine ambalo likamshauri vibaya agombee ili adhalilishwe, heshima yake kushuka, na chama kumfia Mikononi.
Embu fikiria Miaka zaidi ya 30 Mbowe amepigana kufa na kupona kujenga jina na heshima ya brand yake.
Leo hii Mbowe ni wakuitwa Nkurunzinza,
Leo hii Mbowe ni wakuitwa Ayatollah, kweli?
Haya Leo hii Yule Mbowe mwenye jina Kubwa anakuwa kama underground, au underdog kumkabili Lisu mtu aliyemlea Mwenyewe kisiasa? KWELI!
Leo hii Mbowe ni wakushindwa ushawishi kwenye jamii kwa zaidi ya asilimia 80% kila polls zikiitishwa. KWELI?
Heshima iliyojengwa kwa miaka nenda Rudi Leo inavurugika na kupotea kwa Siku chache tuu. Kisa uchaguzi?
Leo hii Mbowe ni wakukataliwa na Robo tatu ya Jamii Forum ambao ni mtandao wa ndani katika nchi yetu. Mtandao unaojitambulisha kama home of Great thinker. KWELI?
Nini kina thamani zaidi ya Heshima? Kitu gani hicho.
Kama ni pesa tayari Mbowe anazo. Nani alimshauri aiweke rehani Heshima yake.
Nani huyo aliyemshauri Mbowe ashindane na Wakati?
Tangu lini mtu akashindana na wakati akashinda zaidi ya kudhalilika na heshima yake kudondoka?
Mfalme Sauli naye heshima yake ilianguka, kwa kushindwa kutambua matumizi ya wakati.
Akawa anapambana na Daudi, kijana mdogo.
Heshima yake yote ikadondoka. Hata Yale mazuri yote aliyoyafanya Sauli Akiwa mfalme yakafutika.
Nawatakia siku njema
Kama ni kweli basi cha kufanya ni kuahirisha uchaguzi ufanyike baada ya 2025 kisha aandae mtu wa kuwa mwenyekiti.
Wanachama wa kuanza nao zero bado wapo???Yani kwenye upinzani tunaenda tena kuanza zero.
Niliweka uzi humu hii ya Lissu na Mbowe ni Kama Lipumba na Maalim sefu,mwisho wake CUF ikafa-CDM nao itakuwa hivyo hivyo.
Mbowe,alishindwa kukaa na Lissu wakayamaliza ili kunusuru CDM??
Si kweli. Kwani, katiba ya Chadema ina ukomo wa uongozi? Je unaelewaje demokrasia? Kama machawa wameshindwa kuiua Chadama, unadhani ushauri tu utakiua mwanangu?Kwema Kabisa!
Mbowe itampasa amkumbuke aliyemshauri aendelee kugombea.
Familia yake ilimshauri apumzike, kwa mujibu wa maelezo yake. Ni kwa sababu inampenda na kutaka heshima yake idumu.
Lakini kuna kundi jingine ambalo likamshauri vibaya agombee ili adhalilishwe, heshima yake kushuka, na chama kumfia Mikononi.
Embu fikiria Miaka zaidi ya 30 Mbowe amepigana kufa na kupona kujenga jina na heshima ya brand yake.
Leo hii Mbowe ni wakuitwa Nkurunzinza,
Leo hii Mbowe ni wakuitwa Ayatollah, kweli?
Haya Leo hii Yule Mbowe mwenye jina Kubwa anakuwa kama underground, au underdog kumkabili Lisu mtu aliyemlea Mwenyewe kisiasa? KWELI!
Leo hii Mbowe ni wakushindwa ushawishi kwenye jamii kwa zaidi ya asilimia 80% kila polls zikiitishwa. KWELI?
Heshima iliyojengwa kwa miaka nenda Rudi Leo inavurugika na kupotea kwa Siku chache tuu. Kisa uchaguzi?
Leo hii Mbowe ni wakukataliwa na Robo tatu ya Jamii Forum ambao ni mtandao wa ndani katika nchi yetu. Mtandao unaojitambulisha kama home of Great thinker. KWELI?
Nini kina thamani zaidi ya Heshima? Kitu gani hicho.
Kama ni pesa tayari Mbowe anazo. Nani alimshauri aiweke rehani Heshima yake.
Nani huyo aliyemshauri Mbowe ashindane na Wakati?
Tangu lini mtu akashindana na wakati akashinda zaidi ya kudhalilika na heshima yake kudondoka?
Mfalme Sauli naye heshima yake ilianguka, kwa kushindwa kutambua matumizi ya wakati.
Akawa anapambana na Daudi, kijana mdogo.
Heshima yake yote ikadondoka. Hata Yale mazuri yote aliyoyafanya Sauli Akiwa mfalme yakafutika.
Nawatakia siku njema
Mbowe bin konyagi ni mpumbavu ... genius kama mimi nikimwita mtu mpumbavu basi ujue huyo mtu ni mpumbavu kweli kweli ...mbowe awezi hata kuandika katiba kama akioewa haki ya kuiandikia katiba nchi basi awezi kuandika chochote cha maana tatizo ni mtu no senseKwema Kabisa!
Mbowe itampasa amkumbuke aliyemshauri aendelee kugombea.
Familia yake ilimshauri apumzike, kwa mujibu wa maelezo yake. Ni kwa sababu inampenda na kutaka heshima yake idumu.
Lakini kuna kundi jingine ambalo likamshauri vibaya agombee ili adhalilishwe, heshima yake kushuka, na chama kumfia Mikononi.
Embu fikiria Miaka zaidi ya 30 Mbowe amepigana kufa na kupona kujenga jina na heshima ya brand yake.
Leo hii Mbowe ni wakuitwa Nkurunzinza,
Leo hii Mbowe ni wakuitwa Ayatollah, kweli?
Haya Leo hii Yule Mbowe mwenye jina Kubwa anakuwa kama underground, au underdog kumkabili Lisu mtu aliyemlea Mwenyewe kisiasa? KWELI!
Leo hii Mbowe ni wakushindwa ushawishi kwenye jamii kwa zaidi ya asilimia 80% kila polls zikiitishwa. KWELI?
Heshima iliyojengwa kwa miaka nenda Rudi Leo inavurugika na kupotea kwa Siku chache tuu. Kisa uchaguzi?
Leo hii Mbowe ni wakukataliwa na Robo tatu ya Jamii Forum ambao ni mtandao wa ndani katika nchi yetu. Mtandao unaojitambulisha kama home of Great thinker. KWELI?
Nini kina thamani zaidi ya Heshima? Kitu gani hicho.
Kama ni pesa tayari Mbowe anazo. Nani alimshauri aiweke rehani Heshima yake.
Nani huyo aliyemshauri Mbowe ashindane na Wakati?
Tangu lini mtu akashindana na wakati akashinda zaidi ya kudhalilika na heshima yake kudondoka?
Mfalme Sauli naye heshima yake ilianguka, kwa kushindwa kutambua matumizi ya wakati.
Akawa anapambana na Daudi, kijana mdogo.
Heshima yake yote ikadondoka. Hata Yale mazuri yote aliyoyafanya Sauli Akiwa mfalme yakafutika.
Nawatakia siku njema
Nyinyi ni wanaharakati, sisi ndio wapiga kura!! Mnatumia mbini nyingi sana ila hakika munaelewa hasaa kuwa Lissu hawezi shinda huu uchaguz ndio maana kelele zenu zmekuwa za debe tupu!Kwema Kabisa!
Mbowe itampasa amkumbuke aliyemshauri aendelee kugombea.
Familia yake ilimshauri apumzike, kwa mujibu wa maelezo yake. Ni kwa sababu inampenda na kutaka heshima yake idumu.
Lakini kuna kundi jingine ambalo likamshauri vibaya agombee ili adhalilishwe, heshima yake kushuka, na chama kumfia Mikononi.
Embu fikiria Miaka zaidi ya 30 Mbowe amepigana kufa na kupona kujenga jina na heshima ya brand yake.
Leo hii Mbowe ni wakuitwa Nkurunzinza,
Leo hii Mbowe ni wakuitwa Ayatollah, kweli?
Haya Leo hii Yule Mbowe mwenye jina Kubwa anakuwa kama underground, au underdog kumkabili Lisu mtu aliyemlea Mwenyewe kisiasa? KWELI!
Leo hii Mbowe ni wakushindwa ushawishi kwenye jamii kwa zaidi ya asilimia 80% kila polls zikiitishwa. KWELI?
Heshima iliyojengwa kwa miaka nenda Rudi Leo inavurugika na kupotea kwa Siku chache tuu. Kisa uchaguzi?
Leo hii Mbowe ni wakukataliwa na Robo tatu ya Jamii Forum ambao ni mtandao wa ndani katika nchi yetu. Mtandao unaojitambulisha kama home of Great thinker. KWELI?
Nini kina thamani zaidi ya Heshima? Kitu gani hicho.
Kama ni pesa tayari Mbowe anazo. Nani alimshauri aiweke rehani Heshima yake.
Nani huyo aliyemshauri Mbowe ashindane na Wakati?
Tangu lini mtu akashindana na wakati akashinda zaidi ya kudhalilika na heshima yake kudondoka?
Mfalme Sauli naye heshima yake ilianguka, kwa kushindwa kutambua matumizi ya wakati.
Akawa anapambana na Daudi, kijana mdogo.
Heshima yake yote ikadondoka. Hata Yale mazuri yote aliyoyafanya Sauli Akiwa mfalme yakafutika.
Nawatakia siku njema
WALIOMSHAURI NI CCM REJEA DOKEZO LA DR SLAAKwema Kabisa!

Zile siku 3 za tafakari alizoomba Mbowe hakuzitumia vizuri. Anaiharibu kazi nzuri aliyoifanya kwa miaka mingi, kwasabb ya ushauri/tafakari mbaya aliyoifanya.Mfalme Sauli naye heshima yake ilianguka, kwa kushindwa kutambua matumizi ya wakati.
Mna weweseka sana na Mbowe, Subirini matokeo ndio mtafahamu nani anajidhalilisha. Hivi mnalala kweli siku hizi?