Aliyemshauri Mbowe agombee alidhamiria kumdhalilisha na kukiua Chama

Aliyemshauri Mbowe agombee alidhamiria kumdhalilisha na kukiua Chama

nadhani dhamira ovu ya Tundu Lisu nchini, ni wazi kuisambaratisha chadema, na kuua upinzani kabisa nchini kwa manufaa ya mabwenyenye ya magharibi yanayombackup ili kujipenyeza kirahisi na kuvuruga amani, umoja na mshikamano wa waTanzania.

Tundu Lisu analenga Kufanya Tanzania kua kama DRC kwa maslahi binafsi na hayo mabwenyenye ya Magharibi yanayombackup. Ameona Taifa likigawanyika atapata fursa ya kujinufaisha kibinafsi,

Hata hivyo,
ameshabainika na kwakweli amechelewa sana na, kama taifa tumedhibiti vizuri nia yake hiyo ovu, na kwakweli hakuna kitu atafanya ndani ya chadema au nje ya chadema 🐒

Ikiwa Lisu dhamiri yake ni hiyo.
Mbowe suluhisho lake asingepaswa kuwania, Bali angempitisha mgombea mwingine mshindani wa Lisu, kisha Mbowe ajiunge naye
 
Wakati huo chama kitakuwa kama TLP hata akimuuandaa itasaidia nini?
Hakiwezi kuporomoka hadi levels ya TLP ingawa mi kweli Lissu ataondoka na baadhi ya wanachama.

Katika uchaguzi mkuu wa 2025 kama vyama vyote viwili (CHADEMA na chama kipya cha Lissu) vitashiriki uchaguzi,, CHADEMA itafanya vizuri kuliko chsma cha Lissu).
 
Watu hawawezi kubakia chama ambacho wanakiona cha Wachagga.

Utajionea mwenyewe
 
Utajionea Mkuu. Tupo hapa😃
Hamna kitu kama hicho mkuu.
Nyie mnaojiita wanaharakati ni hatari sana kwa taifa. Yani hampendi amani kabisa, mkiona watu wametulia mnaanza kutafuta namna ya kuingiza fujo ili mradi tu mpate content ya kuwatag amnesty international.
 
Mimi ni mtibeli Mkuu
 
Watu hawawezi kubakia chama ambacho wanakiona cha Wachagga.

Utajionea mwenyewe
Basi waanzishe kisicho na wachaga tuone kitafika wapi.
Shida yenu nyie wanaharakati hamuamini katika taasisi imara bali mnaamini katika mtu imara.
Mwisho wa siku mtu imara akiwa corrupt tu taasisi nzima inaathirika.
 
Wanaharakati wanataka mtu imara ili aweke Taasisi imara

Taasisi haiwezi kuwa imara kama haina viongozi imara. Upo mzee
 
Tunakufahamu sana humu, yani mada zako zote ni za kiharakati ndio maana umeona uungane na wanaharakati wenzio kuididimiza demokrasia ya wenye chama chao.

Watibeli wanapigania Mambo manne.
Ukiwa nayo hata wewe tutakuunga Mkono.

HAKI
AKILI
UPENDO
KWELI
 
Ikiwa Lisu dhamiri yake ni hiyo.
Mbowe suluhisho lake asingepaswa kuwania, Bali angempitisha mgombea mwingine mshindani wa Lisu, kisha Mbowe ajiunge naye
ampishe mwingine kivipi,
kwani Chadema imekua daladala kwamba manafunzi ampishe siti mtu mzima?🤣

Chadema ina utaratibu wa wazi, wa haki na huru, kwa kila mwanachama wake, anaedhani anatosha kua kiongozi wa nafasi fulani ya kitaifa, basi afuate utaratibu kuomba nafasi hiyo bila kinyongo wala chuki dhidi ya mwingine.

hakuna utaratibu wa aina hiyo wa dhana unayojaribu kujenga gentleman 🐒
 
Wanaharakati wanataka mtu imara ili aweke Taasisi imara

Taasisi haiwezi kuwa imara kama haina viongozi imara. Upo mzee
Mtu imara anapimwa kwenye vigezo gani? Kwa hapa taasisi ilipofikia unafikiri ilikosa uongozi imara. Taasisi imara ni ile yenye collective responsibility kwa uongozi mzima na sio kiongozi.
Ndio maana kuna kamati tendaji ambayo ndio inafanya maamuzi ya kiutendaji. Otherwise tuelezwe kuwa kamati tendaji haina viongozi imara.
 
Back
Top Bottom