Ikulumaliyawananch
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 339
- 533
Acha utahila tanzania tumekosa uongozi wenye kujitambua kama tukipata viongozi wenye nia njema na taifa letu sio tu tunaweza kuajiri watanzania wote bali pia majirani zetu.Achana na Story za kwenye vijiwe vya kahawa wewe, upinzani wana mabadiko gani
Wanaona ajira ndio pointi, ajira ni tatizo dunia nzima, hao wapinzani wasikudanganye kwamba wakiingia ikulu wataajiri kila mtu anayehitimu labda kama wanataka waiingize nchi kwenye madeni yasiyolipika yatayopelekea wadai kuchukua miundombinu ili wajilipe kama ilivyo kwa ndugu zetu hapo...
Ni kweli maana sasa hivi wamejifungia wana tafuta majibu. Ila siasa zinge kuwa huru, wapinzani ndio wange kuwa wana tafuta cha kuongea.Angeruhusu angejua mbinu za upinzani mapema angejua jinsi ya kujihami. Sasa hivi tumebaki na ‘jogoo hoyee’.
nani kasema wananchi tutapigwa risasi?
Poor you!Kama una limit ya kufikiri usipende kusema umeelewa hadharani. Ulichonasa wewe sicho nilichotega. Si ajabu unakesha sana jitahidi kulala uboreshe ubongo wako. Kama una uthibitisho kuwa hakujawa na ajira kwa takribani miaka 5 ulete. We kama umekosa ajira endelea kuomba Mungu akusogezee siku yako lakini usisingizie hajaajiri watu wanakula vitengo kila leo.
Unajua ni nini huwa kinasababisha uwepo wa ajira. Sera za Rais Magufuli zimeua vyanzo vya ajira.Achana na Story za kwenye vijiwe vya kahawa wewe, upinzani wana mabadiko gani kama sio upuuzi mtupu.
Wanaona ajira ndio pointi, ajira ni tatizo dunia nzima, hao wapinzani wasikudanganye kwamba wakiingia ikulu wataajiri kila mtu anayehitimu labda kama wanataka waiingize nchi kwenye madeni yasiyolipika yatayopelekea wadai kuchukua miundombinu ili wajilipe kama ilivyo kwa ndugu zetu hapo, mapato ya airport na shirika lao la umeme yanaenda nje moja kwa moja kwa sababu ya madeni makubwa, kama hicho ndo tunataka tumpe nchi yule anaetumia ajali kuombea kura, eti maumivu aliyopata hatakubali mtu mwingine ayapitie, nani kasema wananchi tutapigwa risasi? Kifupi upinzani hamna jipya.
Aliye au anaye hubiri ruhusa ya maandamano ni nani ccm au upinzaniIla chama tawala walipokuwa wanafanya watu hawakuwa na shughuli au kpnd cha nnyuma PUNGUZA MAHABA
Viva CCM vivaaa'Angeruhusu angejua mbinu za upinzani mapema angejua jinsi ya kujihami. Sasa hivi tumebaki na ‘jogoo hoyee’.
Asante kwa kufungua kwamba mwaka huu Magufuli atashindamiaka 5, Basi uchaguzi wa mwaka huu Magufuli angeshindwa vibaya sana.
Magufuli phd ni rais wanyongeNajaribu kuwaza Kama tokea 2015 Rais Magufuli angeruhusu shughuli za kisiasa kuendelea Kama ilivyokuwa kipindi Cha nyuma, na hivyo Wapinzani kupata fursa ya kufanya mikutano ya kisiasa Mara kwa Mara ili kuwaambia wananchi juu ya madudu ambayo yamefanyika ndani ya miaka 5, Basi uchaguzi wa mwaka huu Magufuli angeshindwa vibaya sana.
Alicheza karata zake vizuri, ingawa pamoja na Kwamba wapinzani wote walizibwa midomo, wakafungwa kamba wasifanye siasa, na hivyo yeye pekee kuzunguka nchi nzima kuwaeleza wananchi Yale anayoyafanya, lakini bado inaonyesha watu wanataka mabadiliko. Upinzani unaonekana kupokelewa kuliko kawaida. Pamoja na kwamba watu wamepigwa swaga za madaraja, barabara, Ndege n.k lakini wanataka maisha Bora, ajira na huduma nzuri za afya, vitu ambavyo wamevikosa katika awamu hii.
Yani ww ushindwe kutimiza wajibu wako km baba watoto walale na njaa afu useme mbona hata jirani yako amelala na njaa? Its a dog shit!! Usihalalishe matatizo yako kwa kuwa na wengine wanayo.. be unique and show the way to escape from sobibo camp!Achana na Story za kwenye vijiwe vya kahawa wewe, upinzani wana mabadiko gani.
Wanaona ajira ndio pointi, ajira ni tatizo dunia nzima, hao wapinzani wasikudanganye kwamba wakiingia ikulu wataajiri kila mtu anayehitimu labda kama wanataka waiingize nchi kwenye madeni yasiyolipika yatayopelekea wadai kuchukua miundombinu ili wajilipe kama ilivyo kwa ndugu zetu hapo...
Umempa jibu zuri Sana huyo mjingaYani ww ushindwe kutimiza wajibu wako km baba watoto walale na njaa afu useme mbona hata jirani yako amelala na njaa? Its a dog shit!! Usihalalishe matatizo yako kwa kuwa na wengine wanayo.. be unique and show the way to escape from sobibo camp!
Angeruhusu angejua mbinu za upinzani mapema angejua jinsi ya kujihami. Sasa hivi tumebaki na ‘jogoo hoyee’.
Haujanielewa. Kuna kushindwa kawaida na kushindwa Sana. Mwaka huu atashindwa lakini siyo kwa kwa kiwango ambacho angeshindwa Kama asingezuia shughuli za kisiasaAsante kwa kufungua kwamba mwaka huu Magufuli atashinda
🕺🏾💃Naomba nikutafute week end hii tule bata kabisa kwani nini?
Kwa hiyo wewe Kama hautaki wasomi waajiriwe unataka kila msomi akimaliza ajiajiri, Kama ikiwa hivo piga picha baada ya miaka kumi kila mtu atakuwa mtaani kuuza nyanya, au kufanya ujasiriamali, Je hapo ndo nchi itakapoendelea? Mfano mtaa mzima wote mnauza nyanya au wote Ni wajasiriamali.Hivi kuna wasomi kwa akili zao wanasoma ili waje waajiriwe?
Kabisa kabisa wana akili timamu?
Hebu jiulize vyuo vingapi kwa mwaka vitatema wahitimu na kiasi gani?
Halafu dunia inaendelea na teknolojia za kurahisha kazi. Na wasomi wanasoma hayo.
Wasome kujiajiri, sio kuajiriwa, waombe mazingira yawe rahisi kujiajiri. Kuwa na simu tu, kumeondoa ajiri nyingi shirika la posta, machapisho ya stamp, bahasha. Nani anakimbilia kumiliki sanduku hapo posta.
Simu na kompyuta tu imeondoa ma sekretari, wasambaza barua masijala email inatosha. Hoja hizi awe ccm, cdm udp au yeyote hawezi kuniambia nitamuona tapeli.
Hata kuwa watu wanakuahidi vitu kana kwamba wewe ni mtoto, wengine turuhusiwe kuwauliza papo kwa papo wakijichanganya TUWAPIGE ON THE SPOT
Ni hayo tu