Aliyemshauri Rais Samia aseme yeye ni ‘Chura Kiziwi’ alimpotosha

Hana uwezo binafsi kiakili. Navishangaa vyuo vikuu vinavyompa PhD hata kama ni za heshima. Hastahili. Rejea MATOKEO yake ya Form 4. Ni aibu mtu aliyepata Division 4 yenye points zinazokaribia kupata Division 0 eti anakuwa Rais wa nchi na kuzawadiwa PhDs za heshima kibao!!! Hebu tuwe serious kidogo. Huyu mtu hana uwezo binafsi wa kuongoza nchi.
 
We jamaa acha ujinga yahn mtu atamke mwenyewe kwa mdomo wake useme ameshauriwa kubalini huyu mama yenu uwezo wake wa kuongoza nchi ni mdogo.
 
Adabu mbovu kabisa....

Yaani hata maneno mdomoni mwake tumpangie sisi raia wa huku kwa Manjunju ?!!!!

Havoc

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Urais si Phd...

Urais si hizo "akili nyingi" usemazo...

Wenye hayo usemayo wanafundisha VYUO VIKUU...

Mh.Rais George Bush alishawahi kusema kuwa yeye alikuwa "ordinary student"....lakini akawa ni rais wa nchi.....

Leo mtu analisimamia taifa baada ya KUSIMAMISHWA AWE HAPO kwa historia yake unasema hana uwezo ?!![emoji44]

Amekuwa mwenyekiti wa "NGO's" huko Zanzibar....leo unasema ana uwezo hafifu?!!![emoji44]

Havoc

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Adabu mbovu kabisa....

Yaani hata maneno mdomoni mwake tumpangie sisi raia wa huku kwa Manjunju ?!!!!

Havoc

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hujui Rais ana washauri kwenye fani mbalimbali za uchumi siasa nk, sasa waliomshauri asisikilize wanaomkosoa ndio waliokosea yeye akaubeba mzima mzima mimi Chura Kiziwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…