PostGE2025 Aliyemshauri Samia leo kuongea na Wazee wa Dar kakosea sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huwezi kutimiza wajibu ndiyo udai haki.

Haki ndicho kitu cha kwanza kuliko vyote.
 

Mimi Binafsi nimefarijika na HOTUBA yake
 
Aisee ndo hayo hayo kamaliza kuongea mda huu huyu bibi punguani
 
Saaana!
 
Straight from JK's political playbook.

..JK mjanja yule.

..haya yangetokea kipindi chake JK angejishusha na kuwaruka kimanga mapolisi.

..Mama uwezo wake mdogo, hajui wakati gani atumie ushawishi, na wakati gani atumie nguvu.

..kwa mfano, angeweza kuwafariji walioumizwa bila hata kukiri kwamba Polisi wamekosea.

..Huu haukuwa muda wa kuwasema vibaya vijana waliouawa, au kujeruhiwa, kutokana na maandamano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…