Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

Kesi ilikuwa wazi Sana hii
Hongera gazeti la jamhuri hatimaye haki imetendeka
Ilikuwa Wazi kweli kabisa,haikuwa na tofauti na ile ya Mauaji ya Dada Yake na Erasto Msuya,Lakini tumeona haki ya upande wa kesi ile.😭
 
Jela ni jela tu
 
Inajulikana vipi sasa na jamaa alishafukia hadi ushahidi!?, Ebu nipeni moja mbili nijifunze kupitia makosa ili nisije nikajikoroga.
Nakumbuka moja ya alama aliyoacha ni kitendo cha kujitumia sms kwenye simu ya mke wake yaani sender na receiver wote wanasoma mnara mmoja na location moja yaani amejisahau kabisa watu wa mitandao hao walitoa data za lissu kwa serikali😁😁
 
Sasa sijui mimi ndo bichwa gumu kuelewa, wamejuaje kama jamaa alimchoma na magunia mawili ya mkaa, sio moja wala matatu!
 
umeongea ukweli mchungu mkuu

na tunaokubali huu ukweli hua tunaishi kwa amani sana

huwezi sema mwanadamu independent kabisa eti unammiliki,thats nonsense
 
OKW BOBAN SUNZU soma kisa hiki hapa
Mkuu Catlyn naomba muendelezoπŸ₯²πŸ₯²
 
Kumbe kuna hukumu ya kunyongwa hadi kufa na kunyongwa hadi kutoa povu kisha unatolewa kwenye kitanzi? Leo ndio nimejua
Yaah kuna kunyongwa adi kufa
Kuna kunyongwa adi utoe povu
Kuna kunyongwa hadi utoe haja kubwa
Kuna kunyongwa adi utoe upepo

Hii inategemea na mahakama yenyewe kama hiyo ya upepo ni mahakama ya kati
Ila hizo zingine za kinyesi, povu na kufa ni mahakama kuu na rufaa
 
Unampigaje na πŸ† wakati hataki? Mkiwa na ugomvi hata nguvu ya kupigana mnakosa
Labda litakuwa toto la kuniomba msamaha kwa kunishikisha kipochi manyoya. Ila hiki kisa kinatisha. Athari za kutochukua hatua mapema
 
Kuna la kujifunza hapa
Kumbe hutakiwi kubadiilisha dini kwa sababu ya mwanamke
 
Hata mimi ningemchoma motroo sioneag huruma mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…