Aliyemuelewa Kipanya atujuze

Aliyemuelewa Kipanya atujuze

Maana naona mwanamke kalala na kuna mkia wa nyoka.

Anataka kutueleza nini KP?View attachment 1752383
Wasanii kama Hawa ni adimu sana kutokea na ni wakutunza ni rasilimali Kubwa, picha hii inafikirisha sana na inatoa somo Kubwa sana ktk maisha, usilale ukajisahau adui halali, na usiamini chochote,yeyote aliyeko karibu nawe anaweza kuwa ni adui na adui kashaingia mpaka kitandani ni ama zake au zako, au tayari adui ameshafika mpaka kitandani umekwisha. Kwa watu ambao ni matajiri, Viongozi wanakakiwa kuwa na watu wa kutafakari na kufuatilia wasanii wanaochora michoro ya aina hii, huwa wanakua kama Manabii
 
Huku Kuna wengine wanahangaika kurudisha akili zao
20210415_103239.jpg
 
Mama hajui lolote, yupo usingizini (hajaamka tangu alipokuwa VP) na kuna Joka kubwa linaendesha Nchi from "behind the scene". Joka lenyewe lipo ndani kabisa (bedroom/Ikulu)
 
Wasanii kama Hawa ni adimu sana kutokea na ni wakutunza ni rasilimali Kubwa, picha hii inafikirisha sana na inatoa somo Kubwa sana ktk maisha, usilale ukajisahau adui halali, na usiamini chochote,yeyote aliyeko karibu nawe anaweza kuwa ni adui na adui kashaingia mpaka kitandani ni ama zake au zako, au tayari adui ameshafika mpaka kitandani umekwisha. Kwa watu ambao ni matajiri, Viongozi wanakakiwa kuwa na watu wa kutafakari na kufuatilia wasanii wanaochora michoro ya aina hii, huwa wanakua kama Manabii
[emoji3][emoji3][emoji3] bi mkubwa ana kazi saana
 
Mama hajui lolote, yupo usingizini (hajaamka tangu alipokuwa VP) na kuna Joka kubwa linaendesha Nchi from "behind the scene". Joka lenyewe lipo ndani kabisa (bedroom/Ikulu)
Duh, nani amstue?
 
ina maana 2
1.macho mlegezo ni Nyoka
meaning, hana tofauti na yule aliyepita ila watu hawajajua tu
2. macho mlegezo analala na nyoka
yani magogoni mule kuna nyoka (watu wabaya) ambao wanafanya kazi kwenye system ndio mana kikatumika kitanda kumaanisha analala nao yani wapo karibu mno
watu hao wanaweza kuwa hatari kwa macho mlegezo au wananchi
 
Huo MTO kaukumbatia ni Chama kingine ila anawaamini kuliko chama chake ambapo wanamlia timing ili kummaliza na Joka hilo maana yake kifo na kitanda rangi ya Udongo?
Daaa kama horror movie
 
Back
Top Bottom