mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,252 Reaction score 6,118 Aug 2, 2023 #121 KlaubenGend said: Kwa namna alivyotoa maelezo obviously hata yeye yupo tayari kufa anytime. Click to expand... Rejea sentensi ya nikaenda kusali msikitini
KlaubenGend said: Kwa namna alivyotoa maelezo obviously hata yeye yupo tayari kufa anytime. Click to expand... Rejea sentensi ya nikaenda kusali msikitini
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 35,012 Reaction score 70,201 Aug 2, 2023 #122 jkipaji said: Police wetu wako vizuri sana Kama wakiamua kufanya kazi yao kweli na huchomoki!! Click to expand... Hilo halina ubishi. Hawa jamaa wakisema watumie resources walizonazo kumtafuta mtu wala haiwezi kuwachukua muda mkubwa wasiwe na taarifa
jkipaji said: Police wetu wako vizuri sana Kama wakiamua kufanya kazi yao kweli na huchomoki!! Click to expand... Hilo halina ubishi. Hawa jamaa wakisema watumie resources walizonazo kumtafuta mtu wala haiwezi kuwachukua muda mkubwa wasiwe na taarifa
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,637 Reaction score 47,413 Aug 2, 2023 #123 jkipaji said: Sasa kuna kesi ya Mauwaji ikaendeshwa miezi 7, auwe Mwaka huu na ahukumiwe Mwaka huu!!?? Click to expand... Sina utaalam wa mambo hayo mkuu, ndio maana sikufiria ilo.
jkipaji said: Sasa kuna kesi ya Mauwaji ikaendeshwa miezi 7, auwe Mwaka huu na ahukumiwe Mwaka huu!!?? Click to expand... Sina utaalam wa mambo hayo mkuu, ndio maana sikufiria ilo.
IDFakenyingine Senior Member Joined Sep 28, 2022 Posts 176 Reaction score 441 Aug 2, 2023 #124 Analyse said: Hiyo post ni ya 2018, mauaji yametokea 2023. Kama huyo manzi ndiye, means walikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 5. Click to expand... Mauaji ni 2019. 2023 hukumu imetoka.
Analyse said: Hiyo post ni ya 2018, mauaji yametokea 2023. Kama huyo manzi ndiye, means walikuwa kwenye mahusiano takribani miaka 5. Click to expand... Mauaji ni 2019. 2023 hukumu imetoka.
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Aug 2, 2023 #125 Yaana anaua alafu ana swali ?
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,637 Reaction score 47,413 Aug 2, 2023 #126 IDFakenyingine said: Mauaji ni 2019. 2023 hukumu imetoka. Click to expand... Sawa mkuu
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 19,955 Reaction score 45,207 Aug 4, 2023 #127 Mshana Jr said: Moto wa mtu ni kiza kinene... Lakini kuna kuhukumiwa na nafsi na kujaribu kumkumbuka mola kwa ajili ya toba..lakini vyovyote iwavyo damu ya mtu hunuka hasa yule asiye na hatia Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Vipi kuhusu polis? Case Kama Ile ya Akwilina
Mshana Jr said: Moto wa mtu ni kiza kinene... Lakini kuna kuhukumiwa na nafsi na kujaribu kumkumbuka mola kwa ajili ya toba..lakini vyovyote iwavyo damu ya mtu hunuka hasa yule asiye na hatia Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Vipi kuhusu polis? Case Kama Ile ya Akwilina
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Nov 21, 2024 #128 Inasikitisha sana