Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Gema Haule(23) aliyekuwa mhudumu wa gesti house inayoitwa Peace house iliyopo manispaa ya Songea mkoani Ruvuma aliuawa na mteja aliyekua anadaiwa elfu hamsini[50,000/=] za malipo ya siku tano alizokaa gesti kwa kumnyonga na kamba ya viatu hadi kufa hatimaye muuuaji amekamatwa.
Pia soma Songea: Mhudumu wa Guest House anyongwa na mteja aliyekodi chumba kwa siku 5 na kushindwa kulipa gharama (20/01/2022)
Muuaji huyo baada ya kutekeleza mauaji hayo alichukua vitu vyake na kuchukua bodaboda aliyempeleka hadi mtaa wa majengo manispaa ya Songea na alimpa yule bodaboda funguo ya gesti airudishe pale gesti bodaboda yule alirudisha funguo gesti akakutana na umati mkubwa wa watu na polisi alirudisha funguo na kukamatwa na polisi palepale baada ya kuhojiwa polisi waliondoka hadi mtaa wa Majengo na kuweka mtego na hatimaye kumkamata mtuhumiwa.
Bodaboda ameachiwa huru baada ya polisi kujiridhisha hakuhusika na tukio lile. RIP Gema Haule ulale mahali pema.