Aliyemuua mhudumu wa guest house aitwaye Gema Haule akamatwa Songea

Aliyemuua mhudumu wa guest house aitwaye Gema Haule akamatwa Songea

Safi Sana polisi kazi nzuri mmefanya [emoji106].
roho ya mtu NGUMU
 
Hivi ni kwanini wauwaji hawawezi kujificha/ kutoroka jumla?! Huwa wanakamatwa kizembe mno
Kumuua mtu kama hujazoea sio kitu rahisi , utaji-race tu ... unaona huyo kulikua na sababu gani ya kurudisha funguo tena kwa kumpa mtu ambaye ameshakunakiri sura yako,?
 
Pole sana Bodaboda Uliingizwa kwenye Matatizo usiyo yajua
na Kama kuna watu wabaya mtaani kwenu ndio walisha Tunga yakwao juu yako
Asante Zuwena wee acha tu iyo Trauma niliyopitia namuachia Mungu. Nashukuru yote yamepita ni kusonga mbele tu.
 
Back
Top Bottom