Aliyemuua mhudumu wa guest house aitwaye Gema Haule akamatwa Songea

Aliyemuua mhudumu wa guest house aitwaye Gema Haule akamatwa Songea

Kwa hiyo jamaa alikosa namna kabisa ya kulipa 50,000/= au kujieleza
 
R.i.p
guest.jpg
 
Ukiua mtu huwezi baki salama ni lazima damu ya ukoo wake itareveng tu
 
Hivi toka mwezi huu uanze wameshauawa watu wangapi?
 
Hivi ni kwanini wauwaji hawawezi kujificha/ kutoroka jumla?! Huwa wanakamatwa kizembe mno
Kumuua binadamu mwenzako kijinga kijinga sio kitu kidogo.Damu ya mtu ina mambo mengi sana.Kuna jamaa namfahamu ni marehem kwasasa aliua mwenzake kwasababu za ovyo akujulikana akaondokaga hapo mtaani hakuna aliyejuaga kama ndo alihusika akakaa uko alikiendaga karibu miaka 3 badae akarudi navipesa pesa akawa akikaa kwenye vijiwe vya draft na pombe anaropoka mwenyewe manjagu wakamdaka akasota magereza akapambana na kesi karibu miaka 5 hadi akachomoka alivyorudi mtaani hakuchukua miezi 4 akajinyonga.Ila kabla yakujinyonga alishaonyesha hayuko sawa kiakili.Kwahiyo kama hujaiva kwenye hiyo kazi lazima ikutese.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Pole sana Bodaboda Uliingizwa kwenye Matatizo usiyo yajua
na Kama kuna watu wabaya mtaani kwenu ndio walisha Tunga yakwao juu yako
Hii ndio sababu ya msingi kufanya makosa yote yawe na dhamana kisheria, kama muuaji asingepatikana huyo boda boda angekuwa mfungwa wa mahabusu kwa muda mrefu sana.
 
Daaah, tutubu, damu ya mwendazake itatutesa sana. By the way, hiyo sababu ni ya kijinga sana, kwani 50k si wangeandikishiana hata serikali ya mtaa tu, then awe analipa kidogo kidogo
Tutubu nini sasa? Na huyo Mwendazake anahusika nn?
 
Back
Top Bottom