Aliyemuua mhudumu wa guest house aitwaye Gema Haule akamatwa Songea

Aliyemuua mhudumu wa guest house aitwaye Gema Haule akamatwa Songea

Et unafanya mauaji alafu unampa boda funguo arudishe eneo la tukio ukitegemea hutokamatwa, sijui ni akili za wapi hizi!
We huko umeenda mbali yaani kauwa kisa anadaiwa elfu hamsini Tena malazi ya siku tano ..

Hana akili sawa huyo mtu apimwe.
 
Siamini katika msemo huu maaba kuna watu wameshazoea kuua na wala hawaweweseki mfano kama wale ma drug lord wa mexico
Kuna makundi ya kiislam yenye itikadi kali ka IS, BOKO HARAM nk. Wao kuchinja binadamu ni halali Wala hawaweweseki!
 
Back
Top Bottom