Nadhani hii inathibitisha ile nadharia kuwa Damu ya mtu humfanya muuaji achanganyikiwe flani hivi...Et unafanya mauaji alafu unampa boda funguo arudishe eneo la tukio ukitegemea hutokamatwa, sijui ni akili za wapi hizi!
Siamini katika msemo huu maaba kuna watu wameshazoea kuua na wala hawaweweseki mfano kama wale ma drug lord wa mexicoNadhani hii inathibitisha ile nadharia kuwa Damu ya mtu humfanya muuaji achanganyikiwe flani hivi...
Vifo vilikuwepo,sema vilikuwa havilipotiwi kwa sana. Tuna uhuru kiasi fulani cha kujieleza.Elfu hamsin duuh jmn mbona vifo vimeongezeka hiv tena vya ajab ajab
Ili?asipatikane?kisha?Je familia ya marehemu iweje?Wewe ni muuaji!Huyo muuaji ni mpumbavu au alikuwa kalewa
Bora angeenda na li funguo akalitupilia mbele kwa mbele
Watu wanauana tu.
Kumuua binadamu mwenzako kijinga kijinga sio kitu kidogo.Damu ya mtu ina mambo mengi sana.Kuna jamaa namfahamu ni marehem kwasasa aliua mwenzake kwasababu za ovyo akujulikana akaondokaga hapo mtaani hakuna aliyejuaga kama ndo alihusika akakaa uko alikiendaga karibu miaka 3 badae akarudi navipesa pesa akawa akikaa kwenye vijiwe vya draft na pombe anaropoka mwenyewe manjagu wakamdaka akasota magereza akapambana na kesi karibu miaka 5 hadi akachomoka alivyorudi mtaani hakuchukua miezi 4 akajinyonga.Ila kabla yakujinyonga alishaonyesha hayuko sawa kiakili.Kwahiyo kama hujaiva kwenye hiyo kazi lazima ikutese.Hivi ni kwanini wauwaji hawawezi kujificha/ kutoroka jumla?! Huwa wanakamatwa kizembe mno
Killers always make a mistake somewhere..Hivi ni kwanini wauwaji hawawezi kujificha/ kutoroka jumla?! Huwa wanakamatwa kizembe mno
Hapana vifo vya mauaji vimeongezeka kwa kasi sana mwaka jana mwishoni na mwaka huu, tena kwa sis humu JF mauaji mengi sana yalikua yanaripotiwa humu makubwa kw madogo tangu kitambo hadi saiziVifo vilikuwepo,sema vilikuwa havilipotiwi kwa sana. Tuna uhuru kiasi fulani cha kujieleza.
Hii ndio sababu ya msingi kufanya makosa yote yawe na dhamana kisheria, kama muuaji asingepatikana huyo boda boda angekuwa mfungwa wa mahabusu kwa muda mrefu sana.Pole sana Bodaboda Uliingizwa kwenye Matatizo usiyo yajua
na Kama kuna watu wabaya mtaani kwenu ndio walisha Tunga yakwao juu yako
Tutubu nini sasa? Na huyo Mwendazake anahusika nn?Daaah, tutubu, damu ya mwendazake itatutesa sana. By the way, hiyo sababu ni ya kijinga sana, kwani 50k si wangeandikishiana hata serikali ya mtaa tu, then awe analipa kidogo kidogo