covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 6,967 Reaction score 17,452 Jan 30, 2022 #61 Curtis G said: Et unafanya mauaji alafu unampa boda funguo arudishe eneo la tukio ukitegemea hutokamatwa, sijui ni akili za wapi hizi! Click to expand... We huko umeenda mbali yaani kauwa kisa anadaiwa elfu hamsini Tena malazi ya siku tano .. Hana akili sawa huyo mtu apimwe.
Curtis G said: Et unafanya mauaji alafu unampa boda funguo arudishe eneo la tukio ukitegemea hutokamatwa, sijui ni akili za wapi hizi! Click to expand... We huko umeenda mbali yaani kauwa kisa anadaiwa elfu hamsini Tena malazi ya siku tano .. Hana akili sawa huyo mtu apimwe.
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Jan 30, 2022 #62 Nafaka said: Siamini katika msemo huu maaba kuna watu wameshazoea kuua na wala hawaweweseki mfano kama wale ma drug lord wa mexico Click to expand... Kuna makundi ya kiislam yenye itikadi kali ka IS, BOKO HARAM nk. Wao kuchinja binadamu ni halali Wala hawaweweseki!
Nafaka said: Siamini katika msemo huu maaba kuna watu wameshazoea kuua na wala hawaweweseki mfano kama wale ma drug lord wa mexico Click to expand... Kuna makundi ya kiislam yenye itikadi kali ka IS, BOKO HARAM nk. Wao kuchinja binadamu ni halali Wala hawaweweseki!